GENK KESHO KBARUANI TENA, HIZI HAPA TIMU AMBAZO ZIMEACHIWA MAUMIVU NA SAMATTA
MBWANA Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgij kesho timu yake itakuwa na kazi ya kufanya mbele ya wapinzani wao Club Brugge. Ligi yao imezidi kupamba moto ambapo…
MBWANA Samatta anayekipiga KRC Genk ya Ubelgij kesho timu yake itakuwa na kazi ya kufanya mbele ya wapinzani wao Club Brugge. Ligi yao imezidi kupamba moto ambapo…
Beki mkongwe wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali kiwango cha Mghana, Lamine Moro huku akipata matumaini ya kufanya vizuri kwenye msimu huu kutokana na ubora wa…
Amis Tambwe, juzi Jumatano alikuwa mbele ya runinga akiangalia mechi kati ya Yanga na Ruvu Shooting na ilivyoisha tu akaliambia Championi Jumamosi kuwa, David Molinga…
Ibrahim Ajibu, nyota wa Simba aliyejiunga msimu huu akitokea Yanga ameweka wazi kuwa amejipanga kutoa asisti zaidi ya 17 alizotoa akiwa Yanga msimu uliopita na…
Ratiba ya mechi tano za Yanga zijazo katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu AfrikaSeptember 14 (Dar)Yanga SC vs Zesco United.Caf Champions LeagueSeptember 18…
BONDIA Mtanzania Abdallah Pazi, maarufu kama Dulla Mbabe, amemtwanga Mchina, Zulipikaer Maimaitiali kwa TKO katika raundi ya tatu.Pambano hilo la ubingwa wa WBO Asian Pacif…
Kocha wa Simba, Patrick Aussems amesema ili aweze kutetea kibarua chake ndani ya kikosi hicho amepanga kutwaa mataji manne ambayo yatapoza hasira za mabosi wake…
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa ana suti zaidi ya pea 100 kabatini ambazo ataanza kutupia kila anapokuwa kwenye benchi la ufundi wakati…
Kocha wa Uganda aliyewahi kutamba na Simba, Jackson Mayanja anaamini kama Kelvin Yondani angekuwa kwenye ukuta wa timu hiyo asingekubali kudhalilishwa ndani ya Uwanja wa…
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAMOSI