ALIYEGOMEA MKATABA YANGA…ATAMBULISHWA SIMBA
KLABU YA Simba SC Imetangaza kuinasa saini ya Kiungo wa Ulinzi Yusuph Kagoma (28) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi msimu wa 2026/2027. Awali mchezaji…
KLABU YA Simba SC Imetangaza kuinasa saini ya Kiungo wa Ulinzi Yusuph Kagoma (28) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi msimu wa 2026/2027. Awali mchezaji…
BAADA ya mawindo ya muda mrefu, Yanga imefanikiwa kupata saini ya kiungo Mzambia Clatous Chama kutoka Simba na tayari imemtambulisha. Ilikuwa ndoto ya Wanajangwani kumpata…
MAPACHA Wameanza kutambiana, BAADA ya Usajili wa Chadrack Boka Kukamilika wanasema kwamba Aliyesajiliwa Simba Valentin Nouma alikuwa haoni ndani kwa Boka. Beki huyo wa Kushoto…
HUENDA ukawa ni mshituko mwingine kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa Azam, sasa inafanya mipango ya kumshusha kikosini,…
Usajili wa Augustine Okejepha kutoka Rivers United kuja Simba unaashiria kazi ngumu iliyopo mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, Fadru Davids katika upangaji wa…
“NYIE TULIENI TU” Ndivyo ambavyo mastaa wa Simba walivyotoa ahadi mbele ya kikao kizito kilichoitishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Heshima…
Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya mlinzi wa kati, Chamou Karaboue raia wa Ivory Coast kutoka klabu ya Racing Club dā Abidjan kwa mkataba…
Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kushoto Chadrack Boka kutoka klabu ya FC Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Ilikuwa ni…
Unataka kuwa Milionea na hujui pa kuanzia? Nisikilize mimi leo nakuletea mchezo wa kasino unaosifika kwa tabia yake ya kutoa mikwanja kwa majokeri. Kabla ya…
UONGOZI wa Simba umefanikiwa kunasa saini ya kiungo wa KMC FC, Awesu Awesu kwa mkataba wa miaka miwili baada ya makubaliano ya viongozi wa pande…