LIGI NDIYO INAANZA, KUNA MENGI YA KUJIFUNZA
LIGI Kuu Bara msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza wikiendi hii kwa baadhi ya timu kupambana kwenye viwanja tofauti baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii…
LIGI Kuu Bara msimu wa 2019/20 inatarajiwa kuanza wikiendi hii kwa baadhi ya timu kupambana kwenye viwanja tofauti baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii…
Na George Mganga,Dar es SalaamOfisa Habari wa klabu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire, ameionya Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) kutoanza kubadili…
WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kushuka uwanjani Jumamosi ya wiki hii huko nchini Botswana, safu ya ulinzi ya timu hiyo imetajwa kuwa ndiyo itakayokuwa bora…
Na George Mganga,Dar es SalaamUongozi wa Simba kupitia Ofisa Habari wake, Haji Manara, umesema utalipia gharama za kikao na waandishi wa habari ambacho wamedhamiria kukifanya…
ZIKIWA zimebaki takribani siku nne kabla ya Simba kuivaa UD do Songo kutoka Msumbuji, rekodi zinaonyesha kuwa Simba wana asilimia kubwa ya kuibuka na ushindi…
AKIWA na uhakika wa safari ya Botswana, kiungo mshambuliaji, Jaffer Mohamed ‘rasta’ juzi alikatwa dakika za mwisho na kuwekwa mshambuliaji raia wa Kenya, Maybin Kalengo.Awali,…
Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa anataka kufutwa kibarua cha kuendelea kuinoa timu hiyo.Zahera ambaye hivi sasa yupo…
TUMEWATIBULIA! Hivyo ndivyo viongozi wa Yanga wanatamba ni baada ya kushtukia janja ya wapinzani wao Township Rollers ya nchini Botswana.Yanga inatarajiwa kuvaana na Rollers Jumamosi…
Raarifa zimeeleza kuwa Edward amemalizana na timu hiyo inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kwa kusaini mkataba wa miaka minne itakayomfanya aendelee kuhudumu mpaka mwaka 2023.Maka…
BAADA ya kuwa nje kutokana na majeraha na kurejea kwenye mazoezi straika wa Simba Ibrahim Ajibu, amefunguka kuwa ameanza mazoezi atawakosa UD Songo ila mechi…