CLEMENT MZIZE SIO KINYONGE…MUDA WOWOTE ANAKINUKISHA YANGA
STRAIKA LA MAGOLI Clement Mzize halijamaliza msimu wa 2023/2024 kinyonge, kwani amekuwa mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB akipachika mabao matano huku akiiwezesha…
STRAIKA LA MAGOLI Clement Mzize halijamaliza msimu wa 2023/2024 kinyonge, kwani amekuwa mfungaji bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB akipachika mabao matano huku akiiwezesha…
KLABU YA SIMBA Simba wamefikia makubaliano na Racing Club Abidjan ya Ivory Coast kwa ajili ya kupata huduma ya beki wa kati, Chamou Karaboue, 24,…
Ni kama Raja imehamia Msimbazi kwani ukiachana na kocha mkuu wa wakali hao wa Morocco, Inaelezwa kwamba Fadlu Davids anayepewa nafasi kubwa zaidi kujiunga na…
LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu…
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally ameweka wazi hatma ya mlinda mlango wao mzawa Aishi Manula ambaye anahusishwa zaidi…
UONGOZI wa Klabu ya Simba Julai 4 jana ulitangaza usajili wa beki wa kati Abdulrazack Hamza kutoka Super Sport ya Afrika Kusini kwa mkataba wa…
HUENDA Hizi zikawa ni taarifa za kushtukiza kwa mashabiki wa soka nchini, kwamba baada ya Yanga kumbeba Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa…
Dili la Simba limebuma baada ya kutaka kumnyampia beki wa FC Lupopo, Chadrack Boka, ambaye hawakujua kama tayari ameshamalizana na Yanga. Boka ni mchezaji wa…
Baada ya Klabu ya Azam FC kutoa Thank You kwa wachezaji wake wanne ambao walikua wanaitumikia klabu hiyo msimu uliomalizika na wengine walikua kwa mkopo…
Sioni sababu ya kwanini asiwe mali nzuri sokoni katika dirisha hili la uhamisho (anasakwa na Simba), Kocha Fadlu Davids ambaye amekuwa na sifa nzuri katika…