AHMED ALLY AZUNGUMZIA USAJILI WA CHAMA…AWATULIZA SIMBA
AFISA Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally ameibuka na mpya baada ya kusambaa sana kwa habari za usajili wa Chama kwenda anga. Ahmed Ally…
AFISA Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally ameibuka na mpya baada ya kusambaa sana kwa habari za usajili wa Chama kwenda anga. Ahmed Ally…
KLABU ya KMC FC imekamilisha uhamisho wa aliyekuwa beki wa kati wa KVZ ya Zanzibar, Salum Athuman βStopperβ baada ya nyota huyo aliyekuwa pia anawindwa…
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji ambaye alifariki juzi Jumamosi anatarajiwa kuzikwa leo nchini Marekani. Manji alifariki akiwa hospitalini Florida Marekani alipokuwa…
Chama atakuwa mmoja ya wapambanaji wa klabu ya Yanga msimu wa 2024/2025 ambapo timu hiyo itakuwa ikishiriki mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrka, Ligi Kuu…
Klabu ya Simba inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo kutoka Jamhuri ya Congo Debora Mavambo Fernandesn aliyekuwa aakiitumikia Mutondo Stars ya Ligi Kuu Zambia (MTN). Kiungo…
Klabu ya Power Dynamos Football Club ya nchini Zambia imethibitisha kuwa wachezaji wake 12 hawatakuwa sehemu ya kikosi Chao msimu ujao wa 2024/25. Katika orodha…
KULE CHAMA, Huku Aziz Ki, Hapa Pacome, pembeni Maxi Nzengeli hatimaye yametimia waliyokuwa wanayasubiri Wananchi, Clatous Chama sasa ni rasmi mali ya Yanga. Baada ya…
YANGA INALIA Imempoteza Tajiri na mtu wa muhimu kwao, Tanzania inasikitika kumpoteza moja ya mtu muhimu, Simba inahuzunika kwa msiba wa Yusuf Manji kama mdau…
HATIMAYE YAMETIMIA, Baada ya sarakasi nyingi za kuwania saini ya Mwamba wa Lusaka Clatous Chama, Yanga wameibuka na ushindi wa KO dhidi ya Simba kwa…
MWENYEKITI na mfadhili wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia jana baada ya kuugua kwa muda mfupi. Manji amekutwa na umauti huo Juni 29,…