TSHABALALA ASHUSHIWA MPINZANI WAKE…VALENTINO NOUMA
Baada ya miaka zaidi ya sita kupita uongozi wa Simba umefanya uamuzi mgumu kwa kusajili beki wa kushoto mgeni wakinasa saini ya Valentino Nouma aliyekuwa…
Baada ya miaka zaidi ya sita kupita uongozi wa Simba umefanya uamuzi mgumu kwa kusajili beki wa kushoto mgeni wakinasa saini ya Valentino Nouma aliyekuwa…
Kiungo wa Simba, Sadio Kanouté ‘Putin’ yupo mguu ndani, mguu nje kuwepo katika kikosi hicho kwa msimu ujao baada ya kuwatikisa mabosi wa klabu hiyo…
Wakati Simba na Coastal Union zikiendelea kuvutana kuhusu usajili wa beki, Lameck Lawi aliyefanya vizuri msimu uliopita kwenye Ligi Kuu Bara, Klabu ya Copco imejivunia…
ISHI KIFALME kwa kucheza Kasino, Meridianbet kuna promosheni kubwa ya Expanse inatoa mgao wa Mamilioni kwa washinda 40. Jisajili hapa na chagua mchezo wako wa…
SIMBA ameitupia dogo Yanga. Uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi umeeleza sababu ya kusimamisha zoezi la kutoa `Thank You` kwa wachezaji wengi ni kuhofia kuingia…
OFISA wa habari wa Yanga, Ally amepunguza taharuki baada ya kuwepo kwa taarifa juu ya kiungo wao Pacome Zouzoua kuwa yupo sokoni baada ya Al…
ALIYEKUWA mshambuliaji wa FC Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mtanzania, George Mpole amesema bado hajasini timu yoyote, licha ya kupokea ofa nyingi kutoka…
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesema kuwa uamuzi wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama wa kutimkia Yanga ni uamuzi sahihi kwa sasa…
TAMASHA kubwa la mpira wa Miguu Tanzania na Afrika kwa sasa ‘Simba Day‘ mwaka huu litafanyika Agosti 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar…
MSHAMBULIAJI John Bocco anatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa na JKT Tanzania na tayari amepiga picha za utambulisho na kaingiziwa pesa zake za usajili. Taarifa…