SABABU 5 YANGA KUINGILIA DILI LA SIMBA KWA MWAMNYETO
INAELEZWA kuwa kuna sababu 5 zilizowafanya Mabosi wa Yanga kumpatia mkataa mpya wa miaka miwili, kitasa Bakari Mwamnyeto, ambapo mwanzoni watani zao walikuwa wanakaribia kuinasa…
INAELEZWA kuwa kuna sababu 5 zilizowafanya Mabosi wa Yanga kumpatia mkataa mpya wa miaka miwili, kitasa Bakari Mwamnyeto, ambapo mwanzoni watani zao walikuwa wanakaribia kuinasa…
RATIBA ya Simba kwa wachezaji kuanza kuripoti kambini kabla ya kusafiri kwenda Misri ilitakiwa kuanza Juni 27, kabla ya kikao cha leo cha wachezaji wote,…
Viongozi wa Simba wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao baada ya kukosa taji la Ligi Kuu Bara kwa misimu…
SIMBA INAPITISHA panga kila kona, katika kuhakikisha wanakuwa na timu imara msimu ujao, Simba Queens imetoa Thank You kwa wachezaji wake wawili wa kimataifa. …
YANGA ipo kwenye mazungumzo ya kumpata mshambuliaji raia wa Ghana, Jonathan Sowah kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Al-Nasr Benghazi ya Libya aliyojiunga nayo Januari…
STAA wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi amehusika kwa kiasi kikubwa kumshawishi, Straika Mganda Steven Dese Mukwala (24) asaini Msimbazi. Mukwala huenda akatambulishwa…
BAADA ya sakata la Clatous Chama kutopata suluhu hadi sasa, Uongozi wa Simba unakabiliwa na changamoto mpya ya kumshawishi kiungo wake Sadio Kanoute asalie klabuni…
Kuna ujumbe ambao Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameutuma kwa viongozi na wachezaji bila kujali wale wapya ambao wanatajwa kusajiliwa Prince Dube, kiungo Clatous Chama…
Simba ipo kazini. Inataka kuhakikisha inamaliza usajili kabla ya Julai Mosi mwaka huu ili ipae kwendi nchini Misri kuweka kambi maalumu ya msimu mpya ‘Pre…
Wakati Singida Black Stars ikiendelea kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao, uongozi wa timu hiyo umesema umemuachia jukumu Kocha Mkuu Patrick Aussems kuamua nani aingie…