MBIVU NA MBICHI YANGA KUJULIKAMA JTATU….WATAKAOPEWA ‘THANK YOU’ HAWA HAPA…
Taarifa kutoka katika uongozi wa Klabu ya Young Africans zinabainisha kwamba, Julai Mosi, mwaka huu itafahamika rasmi kikosi cha timu hiyo kitakuwaje kuelekea msimu ujao.…
Taarifa kutoka katika uongozi wa Klabu ya Young Africans zinabainisha kwamba, Julai Mosi, mwaka huu itafahamika rasmi kikosi cha timu hiyo kitakuwaje kuelekea msimu ujao.…
Ongeza mzuka wa utajiri kupitia sloti ya Crazy Time, moja kati ya mchezo wa kasino ya mtandaoni unaofanya poa sana, washindi wanapatikana kila siku tena…
KLABU ya Simba SC imepanga hadi kufikia mwishoni mwa wiki iwe ishamtambulisha kocha mkuu wa klabu hiyo, ili kuchuka nafasi ya Abdelhak Benchika aliyeondoka klabuni…
Taarifa za uhakika ni kwamba Prince Dube amelipa kiasi cha dola za Marekani 200,000 (takribani Tsh milioni 522) kwenda kwa Azam FC ili kuwa huru…
KAMA Tulivyoripoti Juni 19 mwaka huu kuwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan imeingilia dili la Kiungo wa Asec Mimosas Serge Pokou, sasa ni rasmi…
UONGOZI wa SIMBA unatajwa kumpatia masharti mazito mchazeji wao Clatous Chama ambaye mkataba wake na miamba hiyo umeisha, ili wakamilishe kumpatia mkataba mpya wa mahitaji…
WAKATI wachambuzi na waandishi wa habari za michezo wakiendelea kutoa taarifa kuhusu hatma ya Clatous Chama Simba, mashabiki wa Simba na Yanga nao hawapo nyuma,…
KLABU ya Simba imeendelea kutamba sana kwenye habari za usajili tangu kufunguliwa kwa dirisha kubwa la usajili, kila mchezaji anahusishwa na miamba hii ya soka…
Kocha Kijana Mohammed Mrishona Mohammed maarufu kama Kocha Xavi kutoka Tanzania ndiyo Kocha mwenye umri mdogo zaidi kwa sasa hapa Afrika mwenye leseni ya CAF…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe kwa viongozi na wachezaji bila kujali wale wapya ambao wanatajwa kusajiliwa Prince Dube, kiungo Clatous Chama kila mmoja…