YANGA YAMUWAHI DIARRA CHAP…KUMPA MKATABA NA MSHAHARA MNONO
YANGA sasa iko mezani na menejimenti ya kipa Djigui Diarra, ili kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili aendelee kuitumikia, licha ya kuwa amebakiza msimu mmoja…
YANGA sasa iko mezani na menejimenti ya kipa Djigui Diarra, ili kumuongeza mkataba wa mwaka mmoja ili aendelee kuitumikia, licha ya kuwa amebakiza msimu mmoja…
IKO wazi kwamba Viongozi wa Simba wanapambana sana kurudisha heshima ya klabu hiyo na kuijenga timu upya lakini pia kurudisha Imani ya mashabiki na wanachama…
Milioni 2,500,000/= TZS zipo zinakusubiri leo hii kwa kucheza kasino, michezo ya Expanse iliyopo Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Washindi 40 kujizolewa bonasi za kasino na…
MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori ameweka wazi kuwa ujio wake ndani ya kamati hiyo imezaa kelele na kuleta hofu kwa wapinzani…
RAIS wa Heshima ambaye pia Mwekezaji wa Simba, Bilionea MO Dewji amebadili maamuzi na haraka amemuita kiungo wao mshambuliaji, Mzambia Clatous Chama Jijini Dar es…
KLABU ya Yanga SC imeanza kufanya mazungumzo ya kumpata kiungo mshambuliaji Mcongoman, Karim Kimvuidi anayecheza Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Nyota huyo (22), ana uwezo…
WAKATI viongozi wa Simba wakihaha kukisuka upya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, tayari wameanza kumpigia hesabu winga raia wa Ivory Coast, D’Avila Messi…
FAGIO la chuma limeendelea kupitishwa katika klabu ya Simba, mabosi wa klabu hiyo wapo bize kuingiza majembe mapya, kwani baada ya beki Lameck Lawi, tayari…
SAKATA la usajili wa fundi Clatous Chama aliyemaliza mkataba wake Simba, limezidi kuchukua sura mpya, baada ya bosi mmoja wa Zambia kuvujisha siri kiungo huyo…
Mgao wa Tsh Milion 2,500,000/= unakusubiri wewe mpenzi wa kasino, cheza michezo ya Epxanse kutoka Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda.…