TFF WAIJUBU YANGA…INSHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI
YANGA wamewaambia mashabiki wao mitandaoni kwamba wameshamaliza madai kwa kuwalipa wachezaji wao wawili walioifungulia kesi Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)…
YANGA wamewaambia mashabiki wao mitandaoni kwamba wameshamaliza madai kwa kuwalipa wachezaji wao wawili walioifungulia kesi Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)…
MBWANA Samatta ameibuka na kuthibitisha habari za yeye kuandika barua ya kuomba kustaafu,kuichezea timu ya taifa, Taifa Stars huku akitaja sababu kubwa ya kufanya maamuzi…
ALIYEKUWA mchezaji wa Simba na Winga wa Kimataifa wa Msumbiji Luis Jose Miquissone amefunguka kila kitu kuhusu yeye kutemwa mitaa ya Msimbazi, huku akiweka wazi…
UONGOZI wa Simba umefikia hatua ya kutangaza kuachana na nyota wake Luis Miquissone baada ya kushindwa kukubaliana suala la kumuongeza Mkataba. Miquissone alikuwa na mkataba…
KATIKA kuendelea kufanya maboresho ya kikosi cha timu hiyo, uongozi wa Simba umetangaza kuachana na mshambuliaji wake mzawa Shaban Chilunda baada ya mkataba wake kufikia…
HATMA ya mastaa watatu wa kigeni Yanga, kujulikana Julai Mosi mwaka huu wakati uongozi wa timu hiyo kutangaza rasmi siku hiyo ni maalum ya kuwapa…
KIKOSI cha Yanga, kinatarajia kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi nchini huko tayari kwa msimu mpya wa mashindano. Yanga imekubali ombi la klabu…
BAADA ya kupitia wasifu wa makocha mbalimbali, uongozi wa Simba umejiridhisha na uwezo wa Steve Komphela , raia wa Afrika kusini kuja kurithi mikoba ya…
KLABU ya Simba imekamilisha dili la kiungo wa Zesco United ya Zambia, Kelvin Kapumbu kutua ndani ya kikosi cha wekundu wa Msimbazi hao kwa msimu…
Kasino Imetawaliwa na michezo mingi, kuna mchezo wa Roulette ambao Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo huo wa kasino ya mtandaoni, ambapo yeye binafsi alikuwa…