WATU WANAISUBIRi THANK YOU YA PA OMAR JOBE SIMBA…LEO WANAACHWA WAWILI.
ANAYEKUFUKUZA hawezi kukwambia Ondoka. Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kwa mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe, ambaye mashabiki wa klabu hiyo wameonyesha kiu kubwa ya kutamani…
ANAYEKUFUKUZA hawezi kukwambia Ondoka. Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kwa mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe, ambaye mashabiki wa klabu hiyo wameonyesha kiu kubwa ya kutamani…
Simba SC ipo kwenye mazungumzo na beki wa kati wa ASEC Mimosas, Antony Tra Bi Tra (25) ili kuziba pengo la Henock Inonga anayetajwa uondoka…
KLABU ya Al Hilal ya Sudan imeingilia kati dili la kiungo Serge Pokou wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast ambaye pia amekuwa akiwindwa na Simba…
MLINDA Mlango wa klabu ya Ihefu Abubakar Khomeiny amesajili na klabu ya Yanga kwa mkataba wa miaka miwili akiwa ni mrithi wa nyanda AbdulTwalib Mshery.…
TAARIFA za ndani kabisa kutoka klabu ya Simba ni kwamba vongozi wanafikiria kuhamishia mechi zao za nyumbani msimu ujao 2024/25 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri…
Kikosi cha Yanga, kinatarajia kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi nchini humo tayari kwa msimu mpya wa mashindano. Yanga imekubali ombi la klabu…
WINGA hatari kutoka Asec Mimosas aliyesajiliwa na Simba Aubin Kramo inaelezwa kwamba ameshapona majeraha yake, sasa yuko tayari kutoa burudani ndani ya uwanja. Habari za…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amepiga simu moja kwa beki mpya kutoka FC Lupopo Chadrack Boka na kumpa maelekezo mazito kuhusu msimu ujao ambapo Yanga…
Simba imepanga kumtoa kwa mkopo mshambuliaji wake Pa Omar Jobe kwaajili ya msimu ujao. Jobe alijiunga na Simba katika dirisha dogo la Januari kwa mkataba…
Kasino Inalipa sana! Watu wengi wametajrika kwa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Sababu kubwa zipo mbili, kwanza ni rahisi kucheza kasino, pili unaweka dau…