SERIKALI: KINACHOENDELEA SIMBA…KIMESABISHWA NA YANGA, ..”INJINIA HERSI ALINDWE”…
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro, ameipongeza Yanga kwa mafanikio makubwa, yaliyofanywa chini ya rais wa klabu hiyo, injinia Hersi Said, huku…
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro, ameipongeza Yanga kwa mafanikio makubwa, yaliyofanywa chini ya rais wa klabu hiyo, injinia Hersi Said, huku…
Mwanachama wa klabu ya Simba Hamis Kigwangala [MB] ameweka wazi kuwa Mohamed Dewji haidai chochote klabu ya Simba kwa mujibu wa mkataba. Kigwangala amemtaka pia…
IKIWA zimepita siku chache msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/2024 kumalizika, Kocha wa Makipa wa Simba, Daniel Cadena, amefichua sababu iliyopelekea timu hiyo kupokea…
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuhusu mipango ya kujenga uwanja wao wa kisasa katika eneo la Jangwani, walipewa machaguo mawili — walipwe fidia…
Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema timu hiyo itafanya usajili bora zaidi msimu ujao tofauti na ilivyokuwa kwa msimu uliopita. Akizungumza katika Mkutano Mkuu…
Kuna michezo sana ya kasino ya mtandaoni, ukiachana na hilo kuna hii michezo kutoka Expanse unaambiwa watu wanatajirika kupitia michezo hii, ni rahisi, Jisajili Meridianbet…
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro, ameipongeza Yanga kwa mafanikio makubwa, chini ya Rais wa klabu hiyo, injinia Hersi Said, akiwataka Simba…
USIKU wa Tuzo za Baraza la Michezo Taifa, ulifana sana ambapo klabu ya Yanga imefanikiwa kutwaa Tuzo ya Timu Bora ya Kiume ya Mwaka 2023…
Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji “MO” ameibuka kwa nguvu sana mitandaoni, na kuwafanya mashabiki wa timu hiyo kufikiria mambo mengi…
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuhusu mipango ya kujenga uwanja wao wa kisasa katika eneo la Jangwani, walipewa machaguo mawili, walipwe fidia na…