KUHUSU AZIZI KI NA FEI TOTO KUTUA SIMBA MSIMU UJAO…AHMED ALLY AANIKA UKWELI ULIVYO…
Klabu ya Simba imesema ina mpango wa kufanya kufuru kwenye usajili wao msimu ujao ikiwa ni pamoja na kuwachukua nyota kadhaa wa Yanga na Azam…
Klabu ya Simba imesema ina mpango wa kufanya kufuru kwenye usajili wao msimu ujao ikiwa ni pamoja na kuwachukua nyota kadhaa wa Yanga na Azam…
Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema kuwa kwa sasa hakuna mtu wa kumzuia kwenda klabu yoyote anayotaka kwenda. Pamoja na…
Simba imefungua mazungumzo na mshambuliaji Mzambia, Ricky Banda kwa hesabu za kumshusha nchini katika kuboresha safu yao ya ushambuliaji iliyokuwa na kiwango kibovu msimu huu.…
Klabu ya Simba iko mbioni kuachana na kocha wa makipa wa timu hiyo, Dani Cadena baada ya mkataba wake kumalizika mwisho wa msimu huu. Taarifa…
Simba imeendelea kuifukuza Azam FC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1, dhidi ya Geita Gold kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja…
Sub: “Cheza na Ushinde kasino inayokuletea Simulizi za Ufalme wa Simba “Lion Kingdom” moja ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet inayotoa ushindi kwenye mistari 25”…
Beki wa kushoto wa Klabu ya Yanga, Nickson Clement Kibabage jauzi alilazimika kukimbizwa katika Hospitali ya Mount Meru, Arusha kwa ajili ya matibabu baada ya…
Simba inarudi katika uwanja wa nyumbani leo, itakapoikaribisha Geita Gold kwenye mchezo mgumu ambao kila timu itakuwa na hesabu zake, zikielekea kumaliza msimu wa Ligi…
MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wana raha mara mbilimbili, mojawapo ikiwa ni kutokana na kufanya vizuri kwa timu yao na pili mchakato wa kuboresha kikosi…
Nahodha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta amehitimisha vyema msimu wa 2023/2024 baada ya timu yake PAOK kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya…