KUHUSU ISHU YA KUPIGWA CHINI YANGA…MWAMNYETI AVUNJA UKIMYA…”SIONDOKI MPAKA WANIFUKUZE..”
Beki wa kati na nahodha wa Klabu ya Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amekana tetesi zinazosambaa kuwa huenda msimu ujao akaibukia kwa wapinzani wao Simba SC.…
Beki wa kati na nahodha wa Klabu ya Yanga, Bakari Nondo Mwamnyeto amekana tetesi zinazosambaa kuwa huenda msimu ujao akaibukia kwa wapinzani wao Simba SC.…
Maokoto yameongezeka kwenye promosheni ya Expanse inayoendelea kutimua vumbi kupitia Meridianbet Kasino ya mtandaoni, mpaka sasa washindi wanaweza kujinyakulia kitita cha milioni 400,000,000/= TZS na…
Dili la beki wa FC Lupopo ya DR Congo, Chadrack Boka limefikia patamu ambapo mabosi wake wanatarajiwa kutua Dar es Salaam wakati wowote ili kumalizia…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa timu yao wanapaswa kupambana kufa na kupona kuhakikisha wanamaliza katika nafasi ya tatu…
KLABU ya Yanga imekamilisha usajili wa nyota wawili beki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, katika timu za Saint Eloi Lupopo, Chadrack Boka na winga…
Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge amesema itakuwa ni heshima kwake endapo atapata nafasi ya kuinoa timu mojawapo za Ligi Kuu Tanzania…
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda amesema kuwa maandalizi ya kuikabili Dodomna Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Mei 16 wameyaanza…
MPIRA wa adhabu alioupiga na kusababisha bao la pili dhidi ya Azam FC, Alhamisi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, akiiwezesha timu…
Wakati ikitwaa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa mara ya 30 baada ya kuichapa Mtibwa Sugar bao 3-1, kwenye Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mkoani Morogoro,…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amewapongeza wapinzani wao, Yanga SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa…