AHMED ALLY:- KWA SIMBA HII YA MGUNDA TUNAMFUNGA AL AHLY NNJE NDANI…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanatamani kurudiana na timu zote walizocheza nazo msimu huu zikawafunga. Ahmed amesema hayo…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa wanatamani kurudiana na timu zote walizocheza nazo msimu huu zikawafunga. Ahmed amesema hayo…
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amefunguka mara baada ya kushinda bao 3-0 mchezo wao wa Ligi dhidi ya Azam FC…
Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC ni kama ameutega Uongozi wa Klabu hiyo, katika kipindi hiki ambacho wanamsaka Kocha Mkuu atakayekabidhiwa kikosi kwa ajili ya…
Nyota wa klabu ya Kagera Sugar Obrey Chirwa anaamini kuwa nyota wazawa hawapewi heshima wanayostahili kutokana na ubora walionao ambao kwa wakati mwingine wanawazidi wageni…
KLABU ya Simba iko mbioni kuhakikisha wanampa mkataba mpya kipa wao, Ayoub Lakred kusalia ndani ya timu hiyo kwa msimu ujao aa mashindano Imeelezwa. Kulikuwa…
Hii ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino kama vile kubashiri mubashara na kucheza bahati nasibu, ni mchezo wa Hot Shots Mines. Huu ni…
Kigamboni imepata baraka ya kutembelewa na Meridianbet siku ya kina Mama duniani kwani mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefika eneo hilo na kutoa msaada…
KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Ayoub Lyanga anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa klabu za Simba na Yanga, imeelezwa. Lyanga mkataba wake unafika ukingoni…
Wakati Yanga ikibakiza hatua chache kumalizana na beki wa kushoto wa FC Lupopo, Chadrack Boka, Raul Shungu amewaambia ; “Ni bonge ya beki.” Kocha huyo…
Furaha imerejea Simba. Mabadiliko yaliyofanywa kwenye benchi la ufundi na kumrejesha Juma Mgunda yameanza kulipa. Ametumia mechi nne tu kubadilisha mambo ndani ya klabu na…