BAADA YA KINA FREDDY NA JOBE ‘KUFELI’ JE CHAMA KUMBEBA BENCHIKHA LEO…?
Ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuna mitambo mingi ya mabao lakini kwa sasa namba moja ni Clatous Chama. Ipo…
Ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuna mitambo mingi ya mabao lakini kwa sasa namba moja ni Clatous Chama. Ipo…
Kocha wa Klabu ya Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa falsafa yake anaamini kutumia viungo zaidi kwenye mechi zake kwani ndiyo eneo linaloamua mchezo uchezweje. Gamondi…
Jumamosi leo ni Dabi. Yanga ambayo ndio wenyeji wa mchezo huu,misimu miwili nyuma ilikuwa ikiongozwa na kocha Nasreddine Nabi kabla ya kuja kwa Miguel Gamondi…
Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga, Wakili Simon Patrick amewataka mashabiki wa timu hiyo wasiwachukulie poa watani zao Simba Sc kwani wana kikosi bora licha ya…
Simba inapitia katika nyakati ngumu kweli kweli. Ni ngumu kuliko nyama ya tembo ambayo haikupikwa vizuri. Ni ngumu kama mawe ya pale Mwanza. Inaumiza sana.…
ILE Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa sasa imewadi yamesalia masaa chache mchezo wa Kariakoo Derby uchezwe huku Yanga wakiwa wenyeji, uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es…
Dhahabu ni moja kati ya utajiri wenye thamani kubwa sana, Mabenki na wafanyabiashara wakubwa hutumia dhahabu kutunza ukwasi wao, Meridianbet kasino ya mtandaoni ni mgodi…
Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene…
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa…
Inaelezwa wakati Yanga ilipokuwa Sauzi ikicheza na Mamelodi Sundowns katika mechi ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu kubwa ya huko…