BAADA YA KUKIWASHA KWENYE CAF ….YANGA WABARIKI PACOME, MAXI KUPIGWA BEI…
Yanga SC wameeleza kuwa wapo tayari kumuuza Max Nzengeli pamoja na wachezaji wengine wowote wanaofanya vizuri endapo itatokea timu inawahitaji. Meneja wa Habari na Mawasiliano…
Yanga SC wameeleza kuwa wapo tayari kumuuza Max Nzengeli pamoja na wachezaji wengine wowote wanaofanya vizuri endapo itatokea timu inawahitaji. Meneja wa Habari na Mawasiliano…
Kuna watu walizungumza mengi baada ya Nasredxine Nabi kuachana na Yanga na kwenda kutafuta malisho mema zaidi. Kuna watu walijua mwisho wa Yanga kutamba umefika.…
Mwandishi wa muda mrefu wa habari za michezo nchini Rwanda, Clever Kazungu amesema timu za Simba na Yanga kama zinataka kucheza Nusu Fainali ya Ligi…
Vilabu Mbalimbali Vya Barani Ulaya vikiwemo Kasimpasa , Zenit Saint Petersburg na Dnipro FC vimeonesha nia ya kuhitaji huduma ya Mlinda mlango Wa Klabu ya…
Kikosi cha Yanga kipo njiani kurejea nchini baada ya usiku wa jana kutolewa katika hatua ya rono fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mikwaju…
Baada ya kuishuhudia Timu yake ikifuzu kwa mbinde kwa changamoto ya ,mikwaju ya penati 3-2 dhidi ya Yanga mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutolewa kwa mbinde na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini…
Mabosi wa Yanga wameweka bayana msimamo wao wa kutaka kukata rufaa juu ya kulalamikia bao la kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Stephane Aziz KI lililokataliwa…
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Simba ijipange kwaajili ya msimu ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kutolewa kwenye robo fainali ya michuano hiyo…
Karata moja ya mchezo bomba kabisa na rahisi kuucheza kama ukituliza akili, ule usemi wa changa karata zako vizuri una maana kubwa sana kwenye mchezo…