SKAUTI SIMBA AKABIDHI MASTRAIKA 3…AMTAJA DUBE WA AZAM…PACOME APEWA KAZI MAALUMU…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumatano ya 3/4/2024 kama lilivyoandikwa na kusambazwa na MCL.
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumatano ya 3/4/2024 kama lilivyoandikwa na kusambazwa na MCL.
Mchezo dhidi ya Al Ahly juzi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa umeionyesha Simba mambo matatu ambayo kama ikiyafanyia kazi ndani ya muda mfupi uliobaki inaweza…
Mashabiki wa Simba wanatamani kuona klabu yao ikisajili mastaa wa maana wanaong’aa kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na hata Kombe la Shirikisho, hapa…
Kwa sasa Simba inakuna kichwa ikitafuta mbinu za kushuka nazo jijini Cairo, Misri katika mechi ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
BAADA ya kurejea kikosini Pacome Zouzoua akipona kwa asilimia 100, Kocha Mkuu Miguel Gamondi ameahidi kufanya mabadiliko makubwa katika kikosi chake kuelekea katika mechi ya…
Leo hii mechi nyingi na kali za EPL yani ligi kuu ya Uingereza zinaendelea na wewe mteja wa meridianbet leo ndiyo siku yako ya kutusua…
Ali Baba na kaka yake mkubwa, Cassim ni watoto wa mfanyabiashara. Baada ya kifo cha baba yao, Cassim mwenye tamaa alioa mwanamke tajiri na kuwa…
Ni siku nyingine ya mwezi April huku baadhi ya mechi mbalimbali zikiwa zinaendelea na meridianbet wababe wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa una nafasi yako ya…
Baada ya juzi usiku Simba kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka Al Ahly mchezo wa mkondo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Mwenyekiti…
SIMBA inakuna kichwa jinsi ya kupindua meza baada ya kichapo cha bao 1-0 ilichopata kutoka kwa Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya…