KAMWE:- TUPANGWE HATA NA MAMELOD FRESH TU…ILA TUKIPEWA ASEC MIMOSA ITAPENDEZA…
WAKATI Yanga wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Namungo FC, Ofisa habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa wanahitaji zaidi kukutana na Asec…
WAKATI Yanga wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Namungo FC, Ofisa habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe ameweka wazi kuwa wanahitaji zaidi kukutana na Asec…
Baada ya mapumziko mafupi ya kushangilia kutinga Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuichapa Jwaneng Galaxy mabao 6-0, mastaa wa Simba SC wamerejea…
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi amesema ana siku kumi ngumu kwenye mechi nne za ligi zilizo mbele yao huku akisisitiza kuwa kila mchezaji…
Maajabu katika Ligi Kuu Bara msimu huu yanaendelea ikiwa yale ya karibuni zaidi ni kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kumshusha Aziz Ki…
Ilianza mvua ya kawaida alfajiri ya juzi Jumamosi na ilipofika usiku kukawa na mvua ya mabao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa pale Temeke. Ndio, historia…
Miezi michache iliyopita Clatous Chama alikalia kuti kavu katika kikosi cha Simba, kutokana na tuhuma za utovu wa nidhamu uliomfanya asimamishwe kwa muda usiojulikana kabla…
Kitendo cha miamba ya soka la Tanzania, Simba na Yanga kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kimezifanya timu hizo kuogelea minoti kutoka kwa…
Nchi hivi sasa inaendelea kurindima kutokana na magwiji wa soka nchini, kutoka mitaa ya Msimbazi na twiga (Jangwani), Simba na Yanga kutinga hatua ya robo…
Upungufu wa vitamin C mwilini husababishwa na kutokula matunda kwa wingi na mboga za majani, kuliona hilo Meridianbet wamekuja na mchezo wa matunda-Blazing Heat utakaongeza…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la Leo Jumanne ya 5/3/2024 kama lilivyoandikwa na kuchapishwa na MCL