BAADA YA KUPIGWA ‘BAN’ MECHI TANO…MBADALA WA BACCA YANGA HUYU HAPA…..
YANGA haitakuwa na beki wake wa kati, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ katika mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara, lakini hilo haliwaumizi sana vichwa benchi la…
YANGA haitakuwa na beki wake wa kati, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ katika mechi tano zijazo za Ligi Kuu Bara, lakini hilo haliwaumizi sana vichwa benchi la…
Ni wakati mwingine wa burudani ya soka duniani kote. Mechi za kufuzu Kombe la Dunia zimeendelea kushika kasi, na kama kawaida, mashabiki na wabashiri wapo…
Huu ni mwezi wa hela tu ukiwa na Meridianbet basi umechagua kushinda kila siku. Cheza mchezo wa Kasino ya Mtandaoni wa Win&Go bila hofu yeyote…
KIUNGO mahiri wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ameweka wazi malengo yake ya msimu huu akisema anataka kufunga mabao 15, huku akimpa maua kocha…
Taarifa mpya zikufikie kwamba kuna kocha huko kwao keshaaga kwa mabosi wake kwamba anakuja kupiga mzigo Tanzania, lakini hapa nchini mabosi pale Jangwani inadaiwa kwamba…
Huko Simba mambo yameanza kwa kasi baada ya ujio wa Dimitar Pantev, ambapo unaambiwa ameshaanza kuwapa hesabu zake mastaa wa timu hiyo namna anavyotaka kukijenga…
Meridianbet, jina linaloongoza katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, kwa ushirikiano na Expanse Studios, wamezindua Zombie Apocalypse, promosheni ya kusisimua inayochanganya teknolojia ya…
Mashabiki wa soka barani Ulaya wanapata burudani ya kiwango cha juu huku michuano ya UEFA World Cup Qualification ikizidi kushika kasi. Timu mbalimbali zimeingia uwanjani…
SIMBA imemtambulisha Dimitar Pantev kuwa Meneja Mkuu wa klabu hiyo ikiwa ni siku chache baada ya kuondoka kwa Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Kumbuka tayari Pantev…
Michezo ya kufuzu Kombe la Dunia kwa upande wa Afrika imeingia katika hatua ya kusisimua, huku mataifa mbalimbali yakipambana vikali kutafuta nafasi ya kuwakilisha bara…