YANGA WAVUNA BIL 2.3 ZA CAF…PACOME, AZIZ KI WALAMBA MIL 400….HESABU ZOTE HIZI HAPA…
Yanga imejihakikishia kuvuna Dola 900,000 (zaidi ya Sh2.3 bilioni) kwa kutinga robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika jana Februari 23, 2024. Mabingwa hao wa Tanzania…
Yanga imejihakikishia kuvuna Dola 900,000 (zaidi ya Sh2.3 bilioni) kwa kutinga robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika jana Februari 23, 2024. Mabingwa hao wa Tanzania…
Yanga juzi Jumamosi usiku ilitisha sana. Ilitinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kibabe sana baada ya kuwachakaza mabingwa mara nne mfululizo…
Mara ya mwisho Yanga kufanya walichokifanya, Benjamin William Mkapa alikuwa katika awamu yake ya uongozi wa nchi hii. Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Ndio, Waingereza walikuwa…
Kiungo aliye katika ubora wa juu, Feisal Salum, amezidi kumkaribia kinara wa mabao Stephane Aziz Ki wa Yanga baada ya kufunga bao lililoiwezesha Azam FC…
Baada ya bao la tatu la Kenedy Musonda nilimuona kocha wa Belzouidad akiwa ameshika kiuno hajui cha kufanya. Wakati huo wasaidizi wake wote walikuwa wameketi…
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Miguel Gamondi amesema kuwa watu wengi waliibeza timu yake kuwa kutokana na ugumu wa kundi alilokuwepo kwenye michuano ya Ligi…
Baada ya kumalizika kwa mchezo uliowapeleka Yanga SC robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kiungo wa timu hiyo, Pacome Zouzoua amezungumza kwa hisia kubwa…
Haya ni sehemu ya maoni ya shabiki wa soka aliyeandika kwenye jukwaa la Jamii forum, Huwa sifurahii kuona mafanikio ya Yanga kitu kilichofanya nisiwe naangalia…
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi amewapongeza wachezaji wake kwa mambo makubwa kwa CR Belouizdad kwani walikuwa bora uwanjani, na yeye mwenyewe kuweka rekodi mbili ya…
Kampuni ya Meridianbet leo imefika maeneo ya Kijitonyama jijini Dar-es-Salaam na kutoa msaada wa vifaa vya usafi katika Zahanati inayopatikana katika eneo hilo, Ikiwa mwendelezo…