MANARA :- TFF IMFUKUZE KAZI AMROUCHE….ANAIHUJUMU YANGA MCHANA KWEUPEEE…
Aliyewahi kuwa Msemaji wa Simba SC na sasa yuko zake Young Africans Haji Manara amesema Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unapaswa kumfukuza Kocha…
Aliyewahi kuwa Msemaji wa Simba SC na sasa yuko zake Young Africans Haji Manara amesema Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), unapaswa kumfukuza Kocha…
Mashabiki wa Soka wa Klabu ya Wydad Athletic Club ya Morocco, wameipigia magoti Asec Mimosas, kwa kuitaka ihakikishe inaifunga Simba SC katika mchezo wa kesho…
Kiungo Mshambuliaji ‘WINGA’ wa Young Africans, Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ amesema hajakata tamaa na anaendelea kupambana kusaka namba katika kikosi cha timu kinachoendelea kusaka pointi muhimu…
Ligi ya mabingwa barani ulaya inaendelea tena leo katika madimba tofauti tofauti ambapo itapigwa michezo mikali ya kukata na shoka, Huku nafasi ya kuweza kupiga…
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeruka kihunzi cha kwanza katika ndoto ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025 zitakazochezwa…
Mastaa wawili wa Simba SC, Babacar Sarr na Pa Omary Jobe wamefiuchua sababu za kuwa na muonekano mpya kwa kukata Rasta na kubaki na nywele…
BAADA ya kufanikiwa kwa viungo kufunga sasa Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amehamia kuwafua mawinga kutengeneza nafasi ili kuwapa fursa na washambuliaji kufunga mabao…
Je unatambua kwamba kuna Milioni 13 TZS zipo Meridianbet kasino ya mtandaoni hivi sasa zinakusubiri? Na unaweza kuzipata kupitia simu yako yam konini ukitembelea uwanja…
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Azam FC, Thabit Zacharia ‘Zaka Zakazi’, amesema mazingira ya hali ya hewa ‘Jua Kali’ ni moja kati…
Mshambuliaji Mpya wa Simba SC Freddy Michael Koublan amewatuliza mashabiki wa klabu hiyo kuhusu mchezo wa Mzunguuko watano wa Kundi B, Ligi ya Mabingwa Barani…