ISHU YA ‘SURE BOY’ NA YANGA …UKWELI WA JAMBO UKO HIVI….
Kiungo wa Kikosi cha Yanga, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’, leo ametarajiwa kuanza mazoezi na wenzake majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Avic Town…
Kiungo wa Kikosi cha Yanga, Salum Aboubakar ‘Sure Boy’, leo ametarajiwa kuanza mazoezi na wenzake majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Avic Town…
Bingwa wa michuano ya Afcon 2023 Ivory Coast amejinyakulia kitita cha dola milioni 7 (7,000,000) ambayo ni zaidi ya Bilioni 17.7 kwa fedha za Kitanzania…
Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki amerejea kazini na mchezo wa ligi uliopita akipewa dakika 4 za mwisho lakini takwimu zikathibitisha jinsi ambavyo kikosi…
Yanga ni timu yenye heshima kubwa Tanzania. Huwezi kuwa na maswali mengi ukisikia jina la timu hiyo linatajwa kokote duniani. Sasa inatafuta ubingwa wa 30…
Hakuna mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki, utamu huu unaupata…
Wakati kikosi cha Simba kikiendelea kutakata kwenye Ligi Kuu, beki wa timu hiyo, Che Malone Fondoh, amezidi kuwa mtu muhimu kwenye eneo la ulinzi, akionekana…
Sakata la Fiston Mayele limemuibua mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa ambaye amesema kama ni kutupiwa jini basi Fei Toto angekuwa chizi, majini…
Mtambo wa mabao ndani ya Ligi Kuu Bara na Yanga , Aziz KI hajawa kwenye kikosi hicho katika mechi tatu mfululizo ambazo ni dakika 270…
Yanga iko zake kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kukusanya alama 40 katika mechi 15 ilizocheza ikiwa katika harakati za kutetea taji la Ligi…
Mechi ya Yanga na KMC inayotarajia kupigwa Jumamosi ijayo, itachezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mtendaji Mkuu wa KMC, Daniel Mwakasungula alithibitisha hilo kama wenyeji…