HUYU SARR HUYU ANAKITU AISEE…GAMONDI KIROHO SAFI KWA GUEDE…GOMA LINARUDI KWA MKAPA….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la Leo Jumapili ya 3/2/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la Leo Jumapili ya 3/2/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL
Mashabiki wa Yanga wanatamba kama kuna mtu imara katika ukuta wa kumlinda kipa Djigui Diarra, anayesubiri kucheza robo fainali ya Afcon, basi ni beki Ibrahim…
Magwiji wawili ndani ya kikosi cha Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wameibeba mechi ya Simba SC kuelekea kwenye mchezo wao ujao wa…
Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea hii leo huku meridianbet wakikwambia kuwa na wewe una nafasi ya kuendelea kukusanya mpunga ambao wanautoa kila siku. Tengeneza jamvi lako…
WAKIWA na kikosi cha kazi kilichotoka kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tembo FC, wameshuhudia ubao ukisoma Mashujaa 0-1 Simba. Bao pekee la ushindi…
Mshambuliaji Moses Phiri aliyetangazwa kutemwa Simba katika dirisha dogo ili kupisha mastaa wapya wa kigeni kutua Msimbazi, ameibukia Power Dynamos ya Zambia akijiunga nayo kwa…
Kikosi cha Simba tayari kimeshatua mjini Kigoma tayari kwa maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa leo dhidi ya Mashujaa, huku mastaa wa timu…
Mshambuliaji mpya wa Simba, Freddy Michael Kouablan, amewatoa hofu mashabiki na viongozi wa klabu hiyo kwenye ishu ya kufunga mabao, kwani hiyo ndio kazi yake…
Dakika 90 za mchezo wa kagera Sugar dhidi ya Yanga zilimalizika na wageni kulazimishwa sare isiyo na mabao na kushindwa kuwashusha vinara wa Ligi Azam…
Kocha wa Simba SC, Abdelhak Benchikha ameendelea kumpa mzuka beki wa kati wa Simba, Hussein Kazi kutokana na kumuamini na kumchezesha katika mechi nne akitumia…