SIMBA FULL MKOKO….AZIZ KI, INONGA WAULA AFCON…STARS TUTAMLAUMU SANA SAMATTA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi ya 25/1/2024 kama lilivyochapwa na kusambazwa na MCL.
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi ya 25/1/2024 kama lilivyochapwa na kusambazwa na MCL.
Wachezaji na benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) wameahidiwa Dola 500,000 za Marekani (takriban Sh1.3 bilioni) endapo itafuzu hatua ya…
Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana…
Kocha wa viungo wa timu ya Al Nasr ya Saudi Arabia, Junior Robertinho ambaye ni mtoto wa aliyekuwa kocha wa Simba SC, Robert Oliviera ‘Robertinho’…
Bondia wa ngumi za kulipwa Hassan Mwakinyo, amesema hivi sasa yupo fiti kwa asilimia 98 kumvaa Mbiya Kanku kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC),…
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Angel Gamondi, amesema anahitaji wachezaji wake muhimu anaowategemea kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu kuwa fiti,…
Klabu ya Simba SC imesema haijamaliza kuondoa wachezaji walioshuka viwango, au wote wasiojituma kwenye kikosi hicho na kutoa angalizo kuwa yeyote asiyefanya hivyo ataachwa mwishoni…
LIGI Kuu Bara imesimama kwa muda kupisha Fainali za Afcon 2023 zinazoendelea Ivory Coast na michuano ya Kombe la Mapinduzi ambayo ilimalizika Januari 13 kwa…
Anaitwa Robyn Ronald Fenty wengi wanamfahamu kwa jina lake la kisanii Rihanna alizaliwa tarehe 20 Februari 1988, huko Saint Michael, Barbados. Ni binti wa Monica…
Haikuwa kazi nyepesi kwa kipa wa Simba, Ally Salim (23) kuanza kuaminiwa kupewa nafasi katika baadhi ya mechi za mashindano, kwani alizungukwa na makipa wazoefu.…