KWISHA KAZIIII….MANGUNGU ARIDHIA KUWA MWENYEKITI ‘BUBU’ SIMBA….KATIBA YAPITISHWA….
MWENYEKITI wa Klabu Simba, Murtaza Mangungu amesema anawashangaa wanaotaka nafasi ya uenyekiti kuwa na mamlaka ndani ya Bodi ya Wakurugenzi akidai huko ni kukariri na…