YANGA YENYE OKRAHA YAANZA KUOGOPWA HUKO…11 YA GAMONDI HUENDA IKAWA HIVI SASA…
USAJILI wa mshambuliaji Joseph Guede na Augustine Okrah utamfanya kocha Miguel Gamondi kuwa na machaguo mengi na kuzidi kuifanya timu hiyo iwe tishio na kama…
USAJILI wa mshambuliaji Joseph Guede na Augustine Okrah utamfanya kocha Miguel Gamondi kuwa na machaguo mengi na kuzidi kuifanya timu hiyo iwe tishio na kama…
WAKATI Saido Ntibazonkiza akiendelea kuvutana na viongozi wa Simba juu ya kusaini mkataba mpya ili aendelee kuitumikia klabu hiyo, mabosi wamemchomoa kiungo mshambuliaji Aubin Kramo…
Meridianbet inatarajia kutoa mkwanja wa uhakika hapo baadae ukibashiri kwa usahihi mechi zako zote kwa dau ambalo utakuwa umeweka. AFCON, Copa del Rey zote kupigwa…
SIMBA imewapa mapumziko ya siku 10 mastaa wa timu hiyo baada ya kutoka kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 iliyofika fainali na kufungwa bao…
Uamuzi mgumu wa Simba kuachana na mshambuliaji Moses Phiri na Yanga kuachana na winga Jesus Moloko unaonekana kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na kiwango kisichoridhisha ambacho…
Baada ya kukamilisha usajili wa Mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast, Joseph Guede na kumtambulisha rasmi usiku wa kuamkia jana Jumanne (Januari 16), uongozi wa…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi wamepokea barua kutoka kwa Baraza la Michezo Taifa (BMT) kuendelea na mchakato wa mabadiliko ya katiba ya maboresho ya Simba…
Wakati unawaza kutembelea sehemu mbalimbali duniani kama vile kwenda Vakesheni Dubai, Uturuki na Paris kwenye Jiji la bata, nakupa chaka jingine ambalo watu wengi hawalijui…
SIELEWI! Sio kwa kumkosea heshima. Sio kwa dharau. Sio kwa kukosa adabu. Nilidhani kadri muda unavyozidi kwenda Simba itabadilika kiuchezaji. Niliamini muda unavyozidi kwenda kocha…
HIVI karibuni kulikuwa na taarifa za Simba kutaka kumwacha kiungo wake Clatous Chama, lakini ghafla upepo umegeuka. Chama ambaye anatajwa kutokuwa kwenye mipango ya kocha…