PAMOJA NA USAJILI KUFUNGWA….LOMALISA NA YANGA WAAFIKIANA MWISHO WAO…
Uongozi wa Beki wa kushoto wa Young Africans raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala umefikia makubaliano mazuri ya kuongeza mkataba mwigine wa mwaka mmoja…
Uongozi wa Beki wa kushoto wa Young Africans raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala umefikia makubaliano mazuri ya kuongeza mkataba mwigine wa mwaka mmoja…
KLABU ya Simba imeonekana kuwashangaza wengi baada ya kuwaacha wachezaji wawili ambao walikuwa vinara wa mabao kwenye timu hiyo. Simba juzi ilitangaza kuachana na mshambuliaji…
LICHA ya timu ya taifa la Tanzania ‘Taifa Stars’ kuanza vibaya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa kupoteza dhidi ya Morocco kwa mabao 3-0, bado…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Alhamisi ya 18/1/2024 kama lilivyochapishwa na kusambazwa na MCL
STRAIKA Hafiz Konkoni anayejiandaa kuondoka nchini kwenda kujiunga na timu ya Dogan Tûrk Birligi ya Cyprus kwa mkopo hadi mwisho wa msimu akitokea Yanga, amefichua…
Imefahamika kuwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Mualgeria Abdelhak Benchikha ndiye aliyenusuru panga kwa kiungo wake mshambuliaji, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ kuendelea kubakia Msimbazi. Awali kiungo…
Mashindano ya Mataifa ya Afrika AFCON yamenoga huko nchini Ivory Coast, leo Tanzania itasimama kushuhudia wajukuu wa Nyerere wakiwa kwenye dimba lenye jina la gwiji…
Rekodi za Mshambualiji mpya wa Simba SC Pa Omar Jobe, raia wa Gambia zimeonesha kuwa amefunga mabao 41 katika mechi 73, akichezea klabu tano tofauti.…
Uongozi wa Simba SC umesema kocha wao Benchikha ameonekana kufurahishwa na michuano ya Kombe la Mapinduzi kwani imempa nafasi ya kujua mchezaji gani wa kubaki…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema ameongeza dozi ya mazoezi kwa kuwafanyika mazoezi wachezaji wake mara mbili kwa siku, ili wale watakaorudi kutoka AFCON…