ASEC MIMOSAS WAIKUBALIA YANGA KWA SANKARA…KUMTOA KWA MASHARTI HAYA ….
KLABU ya Asec Mimosas ya Ivory Coast imekubali kufanya mazungumzo rasmi na Yanga kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wake, Sankara Karamoko mwishoni mwa msimu huu.…
KLABU ya Asec Mimosas ya Ivory Coast imekubali kufanya mazungumzo rasmi na Yanga kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wake, Sankara Karamoko mwishoni mwa msimu huu.…
KIUNGO wa Yanga, Pacome Zouzoua ‘Zizzou’ amefunga mabao manne na kuasisti moja katika Ligi Kuu Bara, huku akiwa na mabao matatu kwenye Ligi ya Mabingwa…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ ameahidi kushusha wachezaji wengine wapya wenye ubora kuhakikisha kikosi chao kinakuwa tishio…
Rais wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans, Hersi Said amesema baada ya kukosa nafasi msimu wa 2022/23, klabu hiyo itakuwa sehemu ya timu 24…
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya kuanza kwa Fainali za Mataifa ya Bara la Afrika ‘AFCON 2023’ zitakazofanyikia nchini Ivory Coast, mastaa wa timu ya…
WAKATI Simba inashuka dimbali kesho katika fainali ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege, uongozi wa timu hiyo umefunguka kuhusu taarifa zinazomuhusu mshambuliaji wao, Kibu…
KOCHA Msaidizi wa timu ya Taifa Stars, Hemed Morocco amesema mkakati wao kuanza vema michuano ya mataifa ya Afrika kwa kupata matokeo chanya kwenye mchezo…
Baada ya kuonesha uwezo mkubwa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024, kiasi cha kuwabadili mawazo mabosi wa klabu hiyo waliokuwa mbioni kumtema, beki wa…
SIMBA inaendelea kupita ukanda wa mabadiliko ikiwa chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha tangu aanze kazi Novemba 29, 2023 akichukua nafasi ya Mbrazili, Roberto Oliveira…
PACOME Zouzoua ‘Zizzou’ anaupiga mwingi uwanjani akiwa na kikosi cha Yanga, akiifungia mabao manne katika Ligi Kuu Bara na matatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika,…