WAKATI RUSHINE, KAGOMA WAKIONGEZA MKATABA….PANGA LA SIMBA KUPITA NA MASTAA HAWA…..
KUNA msemo wa kiuanamichezo unasema kwamba: “Usajili wa kwanza bora zaidi katika timu ni ule wa kumbakisha mchezaji wako tegemeo.” Simba imeshutukia jambo mapema na…
KUNA msemo wa kiuanamichezo unasema kwamba: “Usajili wa kwanza bora zaidi katika timu ni ule wa kumbakisha mchezaji wako tegemeo.” Simba imeshutukia jambo mapema na…
MSHAMBULIAJI wa YANGA Clement Mzize, anatarajiwa kufanyiwa upasuaji kufuatia changamoto ya kiafya inayomkabili. Taarifa za kufanyiwa upasuaji kwake zimewekwa wazi na aliyekuwa mtaalam wa masuala…
KIPUTE cha watani wa jadi kati ya Yanga na Simba kinatarajiwa kupigwa Jumapili, Machi 01, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa…
KLABU ya Singida Black Stars SC imetangaza kumfungia miezi mitatu kiungo Khalid Aucho kwa kosa la utovu wa nidhamu na kuchelewa kazini. Aidha, imemsimamisha kazi…
DROO ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imethibitisha pambano lingine kubwa kati ya Manchester City na Real Madrid katika hatua ya 16…
IMEBAKI muda usiozidi saa 48 kabla ya Dabi ya Kariakoo haijapigwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, huku makocha wa Yanga na Simba…
LICHA ya Simba kupoteza dhidi ya Esperance de Tunis ya Tunisia, lakini Waarabu hao hawawezi kuwasahau nyota watatu wa kikosi hicho cha Msimbazi walioonekana kuwapa…
WAKATI kikosi cha Yanga kikiondoka leo jijiji Dar es Salaam kuelekea Zanzibar tayari kwa mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker ameshindwa kujizuia kwa kuonyesha kuvutiwa na urejeo wa kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama, akisema usajili huo…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Kandanda Barani Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe, Jijini Rabat, Morocco.…