ZIMBWE Jr ALIVYOFIKIWA NA Infinix HOT 40 PRO….SIMU JANJA YA WATASHA WA MJINI KWA SASA…
Mchezaji anayekipiga katika team ya taifa na club ya simba Mohamed Hussen almaarufu Tshabalala, amepata dili la ubalozi wa simu aina ya Infinix,Hot 40 pro,…
Mchezaji anayekipiga katika team ya taifa na club ya simba Mohamed Hussen almaarufu Tshabalala, amepata dili la ubalozi wa simu aina ya Infinix,Hot 40 pro,…
DAKIKA 90, kesho zitaamua nani mbabe katika Derby ya Kariakoo kati ya Simba Queens dhidi ya Yanga Princess mchezo wa mzunguko wa tatu wa Ligi…
YANGA leo inarejea tena Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kutafuta ushindi wake wa pili, baada ya juzi kuichapa Jamhuri mabao 5-0 kwenye mchezo wa…
AUGUSTINE Okrah ‘Okrah Magic’ tayari ni mali ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi juzi Jumapili usiku wa kuamkia Mwaka Mpya 2024. Sasa unajua Kocha Miguel…
JAPOKUWA inaelezwa kwamba tayari kwa upande wa maamuzi wa kiraka wa Simba, Nassoro Kapama ni kuachana naye, kesho Jumatano kutafanyika kikao cha kuwajadili na mwenzake…
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amewakalia kooni mabeki wake kutokana na makosa yanayojirudia mara kwa mara kwa kuruhusu nyavu zao kutikiswa na mpinzani. Amesema…
BAADA ya kutambulisha usajili wao mpya kiungo mshambuliaji mpya, Augustine Okrah, uongozi wa Yanga umesema hawajafunga usajili, badala yake wanatarajia kumtangaza mchezaji mwingine anayecheza nafasi…
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Adel Amrouche amemtaja beki wa Yanga na Taifa Stars, Abdallah Hamad ‘Bacca’ kuwa ni mchezaji Bora anaecheza eneo hilo Afrika…
WAHOLANZI wao wanamwita, Miano van den Bos. Ni kijana wa Kitanzania ambaye siku chache zilizopita alikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania…
Ujio wa mchezaji Augustine Okrah katika kikosi cha Yanga unaelezwa unahitimisha maisha ya beki wa kati kutoka Uganda, Gift Fred ambaye tangu asajiliwe hajapata nafasi…