HUKO SIMBA NAKO PA MOTO BALAAH….MASHINE HII YA MAGOLI KUTOKA COLOMBIA KUTUA TZ MUDA WOWOTE..
IMEELEZWA kuwa Simba muda wowote watakamilisha usajili wa mshambuliaji wa Klabu ya Comerciantes FC, Mauricio Cortes raia wa Colombia. Simba imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi…