KUHUSU DILI LA OKRAH KUTUA YANGA UKWELI WOTE HUU HAPA….ENG HERSI AINGILIA KATI…
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa Simba, Augustine Okrah amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia kikosi cha Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga kioindi hiki…