UIMARA WA LAKRED NA TATIZO LA MSINGI PALE SIMBA….HATMA YA MANULA IPOJE…?
ALIANZA kwa kusuasua pale Lusaka Zambia. Akafungwa bao la kijinga la mbali. Ilionekana maisha yangeendelea kuwa rahisi kwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula…
ALIANZA kwa kusuasua pale Lusaka Zambia. Akafungwa bao la kijinga la mbali. Ilionekana maisha yangeendelea kuwa rahisi kwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula…
RAIS wa Shirikisho la Soka nchini, Wallace Karia amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zitakazoandaa fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN…
BAADA ya kumaliza kipindi cha kwanza cha ikiwa inaongoza kwa mabao 2-0, dhidi ya Wydad Casablanca, Simba imefanikiwa kuweka rekodi tofauti tofauti. Kwanza ndio imekuwa…
Kile kiporo cha Simba na Azam kilichotarajiwa kupigwa Januari Mosi hakitapigwa tena sambamba na mechi nyingine za viporo kutokana na Bodi ya Ligi (TPLB) kuweka…
Mei, mwaka huu, Klabu ya Simba ilimtangaza skauti mkuu wa wachezaji, Mels Daalder ambaye ni raia wa Uholanzi ingawa hapo awali alikuwa akifanya na uongozi…
USHINDI ni kauli ambayo inazungumzwa na wanasimba pamoja na benchi la ufundi la Wekundu hao wa Simba, linaloongozwa na Kocha Abdallah Benchikha katika mchezo wa…
Secret Book of Amun Ra sloti unatufanya turejee Misri ile ya kale yenye maandiko mbalimbali ya vitabu na historia isiyosahaulika ya taifa hilo haswa enzi…
Ni miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen na mikoba yake…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa njia pekee itakayowapeleka katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ni kushinda mechi zote za nyumbani kurejesha…
RASMI Kocha Mkuu wa Simba raia wa Algeria, Abdelhak Benchikha ameikabidhi Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, majina ya wachezaji wanne anaotaka wasajiliwe katika dirisha…