AFCON 2023….TANZANIA KUFUNGUA DIMBA NA MOROCCO…KUMALIZA KAZI NA KINA MAYELE…
TIMU ya taifa ‘Taifa Stars’ itafungua Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zitakazofanyika Ivory Coast mwakani kwa kucheza na Morocco, Januari 17 katika Uwanja…
TIMU ya taifa ‘Taifa Stars’ itafungua Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zitakazofanyika Ivory Coast mwakani kwa kucheza na Morocco, Januari 17 katika Uwanja…
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amesema atashirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ inakuwa na…
Mechi mbalimbali zinaendelea leo hii baada ya jana kushuhudia viwanja mbalimbali kuwaka moto, leo ni zamu ya viwanja vingine kutikiswa. Meridianbet kama kawaida maokoto ni…
Wakati Yanga wakihamisha mchezo wao dhidi ya Azam FC kutoka katika Uwanja wa Chamzi kuja Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Oktoba 23. Mchambuzi wa…
Azam FC wamesema kuwa hawana hofu ya mchezo wa Dar es salaam watakaocheza dhidi ya Young Africans huku wakimpa jukumu zito kiungo wao mchezeshaji Feisal…
Ukiichukua jezi ya Kibu Danis baada ya mechi yoyote ukaikamua utapata jasho jingi kuliko mchezaji mwingine yeyote. Huyu ni Simba haswaa. Hachoki na Wala hakati…
Bondia wa ngumi za kulipwa Tanzania, @hassanmwakinyojr amemuombea msamaha Haji Manara kwa Kamati ya Nidhamu ya TFF kumsamehe adhabu yake. Manara amefungiwa miaka miwili kujihusisha…
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amefafanua kuwa sababu ya kutoanza namba tisa asilia katika mchezo wa ufunguzi wa African Football League (AFL) dhidi…
Rais wa Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Moise Katumbi ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuipokea timu yake ambayo itatumia…
Tajiri na mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ na jopo lake, wamewawekea mezaji wachezaji Sh1 bilioni ili waitoe Al Ahly kwenye michuano ya Africa Football…