KUELEKEA SIMBA vs AL AHLY KESHO KUTWA….UWANJA WA MKAPA KAMA ULAYA VILEEE….
UWANJA wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, sasa umekamilika kwa asilimia 99 na tayari kwa ajili ya mechi ya ufunguzi rasmi wa mashindano ya Afrika…
UWANJA wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam, sasa umekamilika kwa asilimia 99 na tayari kwa ajili ya mechi ya ufunguzi rasmi wa mashindano ya Afrika…
Michuano ya kufuzu EURO 2024 inaendelea ambapo mataifa mbalimbali yanakutana kuwania nafasi ya kufuzu michuano hiyo barani Ulaya msimu ujao. Na Meridianbet wanakwambia chochote unachotaka…
MECHI inayosubiriwa kwa hamu kubwa kwa sasa hapa nchini na Afrika kwa ujumla ni kati ya Simba na Al Ahly inayopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa…
Baada ya kutangazwa kuwa kocha mpya wa Singida Big Stars, Mbrazili Ricardo Heron Ferreira amesema yupo nchini kuhakikisha anaifanya timu hiyo kuwa tishio katika Ligi…
MASHABIKI wa Simba kwa sasa angalau wana furaha baada ya kusikia kipa namba moja wa timu hiyo, Aishi Manula amerejea uwanjani na juzi kucheza kwa…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa safari hii lengo lao ni kuiondoa kwenye mashindano Al Ahly ya Misri kwenye michuano ya kimataifa baada ya kushindwa kufanya…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewabadilishia programu wachezaji wake kulingana na ubora wa Azam FC ambao watakutana nao katika Ligi Kuu Tanzania Bara. Katika…
MAKAMU wa Rais Yanga, Arafat Haji ametamba wana kikosi kizuri ambacho kinaweza kushindana na timu kubwa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Arafat alisema…
KAMBI ya Simba mzuka umepanda zikiwa zimebaki siku nne tu kabla ya timu hiyo kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuvaana na Al Ahly katika mechi…
Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi…