KUHUSU ISHU YA MBRAZILI KUFUKUZWA….KIGOGO SIMBA AVUNJA UKIMYA…ATAJA MSIMAMO YA KLABU…
Baada ya kutinga katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Klabu ya Simba SC imeweka wazi kuwa, inaamini kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’,…
Baada ya kutinga katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Klabu ya Simba SC imeweka wazi kuwa, inaamini kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’,…
Makamu wa Rais wa Young Africans, Arafat Haji, ameibuka na kutamka kuwa, sasa hivi wanataka kuona inakuwa kawaida kwa timu yao kucheza hatua ya makundi…
Waziri wa Michezo nchini Kenya, Ababu Namwamba amezitaka timu za taifa za nchi za Afrika Mashariki kujiandaa vizuri kwa ajili ya Fainali za Mashindano ya…
Mfanyabiashara wa kimataifa, Rostam Aziz amekanusha taarifa za mtandaoni zinazodai kuwa anataka kuwekeza katika Klabu ya Soka ya Young Africans kwa kiasi cha Sh Bilioni…
Baada ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans kukata tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwang’oa Al…
Kocha Mkuu wa Maafande wa Magereza ‘Tanzania Prisons’, Fred Felix Minziro amewataka mashabiki wa timu hiyo na wakazi wa Jiji la Mbeya kwenda kuushuhudia ushindi…
Uongozi wa Singida Fountain Gate FC, umekamilisha makubaliano na aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Mfaransa Didier Gomes, kuja kukinoa kikosi cha timu hiyo inayoshiriki…
Nimekiangalia tena Kikosi cha Yanga cha Mwaka 2018, nimekiangalia kikosi cha Simba cha mwaka huo pia, kisha nimeviangalia vikosi vyao mwaka huu 2023 miaka mitano…
Tangu jana nimekuwa nikifatilia sana mijadala inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, licha ya Simba kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini baadhi…
Ihefu imeangalia kwa umakini kasi ya ushambuliaji ya Yanga na uimara wa beki wao na kutikisa kichwa ikisema wanajua pakuwabana kuhakikisha wanashinda mchezo wao wa…