PAMOJA NA OFA YA BIL 2 MEZANI ….HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA MZIZE KUBAKI YANGA…
KELELE na tetesi nyingi zilizokuwa zikimuhusisha mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kutakiwa na timu mbalimbali za ndani na nje ya Afrika, zimezimwa rasmi na klabu…