KAMA ULIKUWA HUJUI….HII HAPA REKODI YA KIBABE ILIYOWEKWA NA GOLI LA JOB NDANI YA YANGA…
DICKSON Job, beki mzawa ndani ya kikosi cha Yanga, amevunja rekodi yake aliyoaindika msimu wa 2022/23 kwa kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza. Job…
DICKSON Job, beki mzawa ndani ya kikosi cha Yanga, amevunja rekodi yake aliyoaindika msimu wa 2022/23 kwa kufunga bao katika mchezo wake wa kwanza. Job…
Kocha wa Simba Robertinho amesema amefurahishwa na kitendo cha winga Luis Miquissone kupungua uzito, akisema kurejea kwake kwenye kiwango na wepesi kutaiongezea kitu kizito timu…
SIMBA haijapoteza mchezo wowote msimu huu hadi sasa na inawezekana mambo yakawa mazuri zaidi baada ya kipa wao namba moja Aishi Manula kurejea uwanjani na…
Tunakuletea mchezo mwingine wa kasino mtandaoni wa Meridianbet unaofanyika chini ya maji. Wakati huu, wahusika wakuu ni kaa, na miongoni mwao, Bob ndiye maarufu zaidi.…
SAFU ya ulinzi imeshikilia hatima ya Taifa Stars katika mchezo wake muhimu wa mwisho wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023, ugenini…
BAADA ya kufanikiwa kuendeleza soka la vijana , wanawake na timu kubwa kuwa sehemu ya klabu kubwa Barani Afrika, uongozi wa Klabu ya Simba umezindua…
KOCHA mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ni kama ameanza kuwatisha wapinzani wake kutokana ubora wa kikosi chake mpaka sasa baada ya kusema kuwa bado kabisa…
UONGOZI wa Simba, umesema kulingana na usajili mkubwa waliofanya hawaoni sababu ya kutofanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika chini ya kocha wao,…
KIUNGO wa Yanga, Maxi Nzengeli ameweka wazi kulingana na program wanayopewa na Kocha Miguel Angel Gamondi ni suala la muda kukata kiu ya mashabiki wao…
Saa chache baada ya kufanyika kwa droo ya michuano mipya ya African Football League (CAF Super League) na Simba kujikuta ikipangwa kuvaana na Al Ahly…