WAKATI SIMBA WAKIPOTEANA JANA….YANGA WALIA NA HUJUMA….KAMWE AMATAJA ADUI YAO…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kwa kusema kwamba wanaushindani mkubwa na maadui wakubwa kitakachowanusuru ni umoja, mshikamano na mapambano ya dhati kutoka kwa…
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kwa kusema kwamba wanaushindani mkubwa na maadui wakubwa kitakachowanusuru ni umoja, mshikamano na mapambano ya dhati kutoka kwa…
BABA wa Msemaji wa Yanga, Shaban Kamwe, amesema umaarufu wa mwanawe, Ali Kamwe, umemletea manufaa mbalimbali katika maisha yake. Mzee Kamwe aliyasema hayo wakati akizungumzia…
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipig Wydad AC ya Morocco, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ ameanza mechi ya kwanza akiwa na uzi wa timu hiyo iliyotoka suluhu na COD…
ALIANZA aliyekuwa kocha mkuu, Sead Ramovic, kisha akafuata kocha wa makipa Alaa Meskini, kiasi cha kuanza kuzua maswali, Yanga kunani? Ndio, Ramovic aliyeajiriwa na Yanga,…
SIMBA nd’o zetu. Huu ni msemo uliozoeleka kwa mashabiki wa klabu hiyo linapokuja suala la mechi za kimataifa. Na safari hii ni zamu ya klabu…
Je unajua kuwa Meridianbet imekuja na promosheni kabambe ya Aviator ambayo inaweza kukupatia zawadi malukuki ikiwemo PS5 na beti kibao za bure ambazo utazitumia? Basi…
WAKATI Simba na Azam zikishuka uwanjani kesho jioni katika Mzizima Derby, vinara na watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga jana ilimaliza kazi kwa kuweka rekodi…
UONGOZI wa Singida Black Stars umemtambulisha kocha Juan Carlos Oliva (MAGRO) kutoka Hispania kuwa kocha msaidizi namba moja kuongeza nguvu benchi lao la ufundi akishirikiana…
UONGOZI wa klabu ya Simba umesema kutokana na ugumu na umuhimu wa mchezo dhidi ya Azam FC, wamevunja utaratibu wao wa kuwaruhusu wachezaji kwenda nyumbani…
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amebainisha kuwa Jean Charles Ahoua na Leonel Ateba watakuwa na jukumu la kupiga penati wanapokuwa uwanjani katika michezo mbalimbali.…