HIZI HAPA KARATA ZA GAMONDI NA UBINGWA LIGI KUU…BACCA ASUGULISHWA BENCHI
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema licha ya kuwapo kwa ushindani mkubwa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, wachezaji wake wamekuwa wakipambana uwanjani kusaka pointi…
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema licha ya kuwapo kwa ushindani mkubwa kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara, wachezaji wake wamekuwa wakipambana uwanjani kusaka pointi…
Rais wa Klabu bingwa Tanzania Bara Young Africans Injinia Hersi Said amesema anataka kuiona klabu hiyo inakuwa katika orodha ya Klabu nne Bora Barani Afrika…
Taarifa ambazo hazijadhibitishwa zinasema kuwa kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba, Clatus Chama huenda msimu ujao akaibukia katika mitaa ya twiga na Jangwani ambapo ameandaliwa…
Suala la kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC Abdelhak Benchikha na wasaidizi wake Farid Zemit na Kamal Bougnan, limemuibuka aliyewahi kuwa Afisa Habari…
Mlinzi wa pembeni wa Yanga ambae alikuwepo kwa mkopo kutoka Singida Fountain Gate Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka mitatu Yanga, makubaliano ya mauzo kati…
Wakati Yanga imebakiza pointi 12 ikiwa ni sawa na mechi nne ili kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa tatu mfululizo, kocha wa…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amefunguka kuhusu madai kuwa mchezaji wa timu hiyo, Pacome Zouzoua raia wa Ivory Coast amefungiwa na Shirikisho…
Heshima aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua…
Nilipenyezewa wiki iliyopita Abdelhak Benchikha alikuwa amemtumia meseji ya simu ya mkononi bosi mmoja mkubwa wa Simba akimwambia anataka kuondoka klabuni hapo muda wowote kuanzia…
TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza ambao…