BACCA AMKATAA MAMA YAKE…KUMBE ANALIPWA MAOKOTO YA KUMWAGA…BABA MZAZI AFUNGUKA
Kama ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad ‘Bacca’.…
Kama ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad ‘Bacca’.…
Achana na matokeo yaliyopatikana kati ya Yanga na JKT Tanzania unaambiwa wachezaji zaidi ya watatu ndani ya kikosi cha Yanga wamemtupia zigo kiungo Stephane Aziz…
Baada ya kutokuwa na msimu mzuri wa Ligi Kuu Tanzania Bara na kuwa imeondolewa katika mashindano ya Kombe la FA, Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Edo Kumwembe awechana klabu ya Simba akisema ni aibu kubwa kufurahia kufungwa bao chache na watani zao Yanga Sc.…
Kikosi cha Simba usiku wa jana kilikuwa uwanjani visiwani Zanzibar katika michuano ya Kombe la Ligi ya Muungano na kufanikiwa kufuzu kwenye fainali ya michuano…
Baada ya kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kuyafikia mabao 14 aliyofunga, Prince Dube msimu wa 2020/21, amebakiwa na mitihani miwili ndani ya…
Mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali hapa nchini, zimeonekana kutishia kutibua ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Bara. Jumanne wiki hii, ilishuhudiwa mchezo baina ya…
Timu ya Azam Fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Muungano mara baada ya kupata ushindi wabao 5-2 dhidi ya timu ya KMKM…
Nakumbuka ilikuwa Januari 2022, wakati mashindano ya AFCON 2021, yanaendelea kule Cameroon. Baada ya mchezo wa hatua ya makundi kati ya Algeria na Ivory Coast…
Kocha Msaidizi JKT Tanzania George Mketo amesema walifanya mazoezi ya kuwakaba Yanga wachezaji wao hatari akiwemo Aziz ki akiwa anatokea pembeni ndio maana waliwapanga walinzi…