MAGAZETI: MAYELE AMTISHIA BEKI WA WAARABU…SIMBA YAWAPIGA HOROYA AC 7-0
Good Morning Mwanamichezo March 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
Good Morning Mwanamichezo March 18, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania
Kocha Mkuu wa US Monastir, Darko Novic ametoa kauli ya kinyonge kuwa hawatatumia nguvu nyingi watakapovaana na Mabingwa wa Soka Tanzania Young Africans. Miamba hiyo…
Nyota wa zamani wa timu ya taifa, Taifa Stars, Rashid Idd ‘Chama’ ameungana na baadhi ya wadau na mashabiki walioshangazwa kutoitwa kwa mabeki Shomari Kapombe…
TIMU ya Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya ya…
KILA nikiwafikiria Mamelodi Sundowns, siombei wakutane na Simba kwenye Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jamaa wanatisha balaa. Kama Simba watafanikiwa kupenya kuingia katika hatua…
TIMU ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ inasafiri wiki ijayo kuelekea Kaskazini mwa Afrika kule Misri, kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa wa kundi…
NIPO kijiweni na washkaji zangu ukaibuka mjadala wa malalamiko ya mama wa Feisal Salum “Fei Toto” kuwa mwanaye kuna nyakati alikuwa anakula ugali na sukari…
MSHAMBULIAJI wa Simba, Jean Baleke amesema kazi kubwa imefanywa na viongozi, benchi la ufundi na sasa kilichobaki ni wao kuonyesha thamani yao wakati watakapoikabili Horoya leo Jumamosi.…
YANGA ina dakika 90 za kuandika rekodi mpya ya kufuzu hatua ya robo fainali endapo itashinda kesho Jumapili itakapopambana na US Monastir ya Tunisia katika…
NYOTA wa zamani wa kimataifa wa Tanzania aliyewahi kuwika na Simba na Yanga, Zamoyoni Mogella amesema Clatous Chama na Fiston Mayele ndio walioshikilia tiketi za…