NDANI YA DAKIKA CHACHE UNAPATA MILIONI MKONONI MWAKO…
Meridianbet imeleta mashindano ya Playson Short Races ambayo yanakupa nafasi ya kushinda mamilioni ya pesa. Hii ni moja ya fursa kubwa sana ya kukupatia maokoto ya maana huku washindi wakifurahia promosheni hii. Playson Short Races ni mashindano ya kila siku na ya kila wiki yanayochochea ushindani mkali katika mbio za dakika chache, lakini zenye matokeo makubwa. Wachezaji wanatakiwa kucheza michezo...
MNASEMA KIBU HAJAWIKA MSIMU HUU 🙄🙄..?HIZI HAPA TAKWIMU ZAKE ZA KUTISHA 😎😎…
SIMBA SC katika anga la kimataifa msimu wa 2024/25 imegotea nafasi ya pili kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Katika dakika 180, Simba SC ilifungwa jumla ya mabao 3-1, bao la kufutia machozi kwa Simba SC lilifungwa na Joshua Mutale mchezo uliochezwa Uwanja wa New Amaan Complex. Kibu Dennis ni miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa katika...
ISHU YA MPANZU KUTAKIWA NA WAARABU …UKWELI WOTE HUU HAPA…
INAELEZWA kuwa winga chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Fadlu Davids ndani ya kikosi cha Simba SC, Ellie Mpanzu yupo kwenye rada za RS Berkane,Waarabu wa Morocco. Mpanzu ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa tegemeo katika kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye anga la kimataifa na kitaifa. Ndani ya ligi rekodi zinaonyesha kuwa alicheza jumla ya mechi 17 kati ya...
KUHUSU MANULA KURUDI ZAKE AZAM FC…HII HAPA STORI NYUMA YA PAZIA ISIYOSEMWA….
AIR Manula amerejea ndani ya kikosi cha Azam FC akitokea kwa waajiri wake Simba SC akiwa mchezaji huru. Mkataba wa Air Manula na Simba SC ilikuwa mpaka 2025 tayari umegota mwisho. Kwa msimu wa 2025/26 atakuwa ndani ya Azam FC, matajiri wa Dar mpaka 2028 akitimiza majukumu yake kwenye eneo la mlinda mlango. Msimu wa 2024/25 akiwa ndani ya Simba SC...
KUELEKEA CHAN…..TAIFA STARS YAKIMBILIA MISRI ‘KUVUNJA NAZI’….
KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea pipa kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu. Hivyo kuelekea CHAN mambo ni moto na maandalizi yanaendelea kwa kasi ikiwa ni mwendelezo wa ukarabati wa Uwanja wa Mkapa ambao upo tayari kwa asilimia...
HUYU HAPA MVP WA IVORY COST ALIYEZIGONGANISHA SIMBA, YANGA…..KESI KUFIKISHWA FIFA….
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wakianza kuchekelea chinichini baada ya kuwahabarisha juu ya dili la straika wa ASEC Mimosas na MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast (Ligue 1), Celestin Ecua lililobaki hatua chache kabla ya kutua Jangwani. Ndio, Yanga inadaiwa kuwa ipo hatua nzuri ya kumnasa Ecua aliyehusika na mabao 27 katika mechi...
KUHUSU ISHU YA AZIZ KI KUTAKIWA KUTEMWA WYDAD…..YANGA WAWAPA JIBU HILI WAARABU….
BAADA ya kucheza dakika 11 kwenye mechi mbili za Kombe la Dunia la Klabu dhidi ya Manchester City na Juventus, kiungo mshambuliaji wa Wydad, Stephane Aziz KI huenda asiwe sehemu ya kikosi hicho msimu ujao huku ikielezwa ili abaki kuna ishu anaisikilizia. Wydad ilicheza mechi tatu za michuano hiyo na kuondolewa hatua ya makundi bila ushindi ikianza na kichapo cha...
BETI YAKO UNAMPA NANI? PSG VS REAL MADRID…
Nusu fainali kali kabisa kupigwa leo katika dimba la MetLife kati ya PSG vs Real Madrid. Fursa ipo mikononi mwako leo ukibashiri mechi hii kwa GG&3+ huku ukiongeza mechi zako zingine na kushinda zawadi kedekede ikiwemo bonasi. Ni siku ya PSG kulipa kisasi kwa mabingwa hawa wa Ulaya mara 15 huku kikosi cha Luis Enrique kikiwa na hamu ya kuchukua...
EXPANSE TOURNAMENT IMERUDI KWA KISHINDO NA ZAWADI ZA JUU KUTOKA MERIDIANBET…
Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee ya Expanse Tournament, shindano la kusisimua la michezo ya sloti linalofanyika kuanzia tarehe 08 Julai hadi 22 Julai 2025. Katika kipindi hiki, wachezaji watakaokua nafasi za juu watapata zawadi mbalimbali, ikiwemo pesa taslimu na mizunguko ya bure, huku jumla ya zawadi zikiwa zaidi ya TZS 2,000,000. Ili kushiriki, unahitajika kuwa na akaunti halali ya Meridianbet...
MAISHA YA CAMARA SIMBA HATARINI….MABOSI WAVUTANA ‘ABAKI AU ASEPE’….
MAISHA yanaenda kasi sana unaambiwa, kwani kuna mambo nyakati flani msimu uliopita usingeweza kufikiria iwapo yangeibuka sasa na kutibua mioyo ya mashabiki wa Simba na hata viongozi. Wakati msimu wa 2024/25 unaanza Simba haikuwa na malengo makubwa, ikitembea na kauli kwamba inajenga timu mpya kwa ajili ya kuja kuitumia kutikisa Bara na Afrika miaka michache ijayo, ikifuata nyayo za watani...