Michezo Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Bongo

SIMBA MWENDA POLE NDIE MLA NYAMA

KAULI ya “mwenda pole ndiye mla nyama” inaendelea kuidhihirisha vyema falsafa ya uongozi wa Klabu ya Simba katika mikakati yao ya usajili…

Jan 1, 2026
Michezo Bongo

JANGWANI WATAMBULISHA SILAHA YAO MPYA

KLABU ya Yanga  imemtambulisha rasmi kiungo Mohammed Damaro kuwa mchezaji wake mpya, akitia saini mkataba utakaomuweka ndani ya kikosi hicho hadi mwisho…

Dec 31, 2025
Michezo Bongo

TANDIKA JAMVI LAKO LA USHINDI HAPA

Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka nafasi ya…

Dec 31, 2025
Michezo Bongo

MERIDIANBET KUIBUA FARAJA WAMAMA PALESTINA

Akina mama wajawazito na waliojifungua hivi karibuni katika Hospitali ya Palestina, Sinza jijini Dar es Salaam, wamepata faraja ya kipekee mwishoni mwa…

Dec 31, 2025
Michezo Bongo

JIWE MOJA KUUWA NDEGE WAWILI SIMBA SC

MTENDAJI Mkuu wa Klabu ya Simba, Zubeda Sakuru, amesema uongozi wa klabu hiyo umejipanga kutumia mashindano ya Kombe la Mapinduzi kama fursa…

Dec 31, 2025
Michezo Bongo

SIMBA SC KUELEKEA ZANZIBAR

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mpya, Steve Barker kinatarajiwa kuondoka kesho Januari Mosi, 2026 kuelekea Visiwani Zanzibar. Simba wanaelekea Visiwani humo…

Dec 31, 2025
Michezo Bongo

KOCHA WA VIUNGO ATAMBULISHWA MSIMBAZI

KLABU  ya Simba imemtangaza rasmi Sibusiso Makhula kuwa kocha mpya wa viungo wa kikosi cha timu hiyo, hatua inayolenga kuimarisha zaidi maandalizi…

Dec 30, 2025