Michezo Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Bongo

YANGA KUIFATA AL AHLY MISRI JUMATANO

KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini kesho alfajiri kuelekea nchini Misri, mji wa Alexandria, kwa ajili ya mchezo muhimu wa Ligi ya…

Jan 20, 2026
Michezo Bongo

BURUDANI NA KALAMBA GAMES NA MERIDIANBET

Wachezaji wa kasino, simama tayari kwa mapinduzi ya kweli mtandaoni. Meridianbet imeungana na Kalamba Games, kampuni ya kimataifa inayojivunia ubunifu wa sloti za kisasa…

Jan 20, 2026
Michezo Bongo

MFUMO WA YANGA WAANZA KUELEWEKA

KOCHA Mkuu  wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema kikosi chake kimeanza kuonyesha mabadiliko chanya baada ya wachezaji wapya kuelewa kwa kina falsafa na…

Jan 20, 2026
Michezo Bongo

CHAMA NI SWALA LA MUDA MSIMBAZI

UONGOZI wa klabu ya Simba umeendelea kuonyesha dhamira yake ya kuimarisha kikosi kwa kufikia makubaliano ya awali na kiungo mshambuliaji wa Singida…

Jan 20, 2026
Michezo Bongo

ISMAEL OLIVER TOURE ATUA RASMI MSIMBAZI

HATIMAYE sintofahamu imefikia tamati baada ya uongozi wa Klabu ya Simba kukamilisha usajili wa beki wa kati, Ismael Oliver Touré, kutoka klabu…

Jan 20, 2026
Michezo Bongo

KAMWE; OKELLO, DEPU DIMBANI LEO

NYOTA wawili wa kimataifa wa Yanga, Allan Okello na Laurindo Dilson Maria Aurélio ‘Depu’, leo wanatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha timu…

Jan 19, 2026
Michezo Bongo

CHAGUA MECHI, WEKA DAU, SHINDA PESA LEO

Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo unaweza ukachagua timu zako kwa dau ulipendalo na kushinda pesa zako hapa. Timu kibao zinakusubiri wewe…

Jan 19, 2026
Michezo Bongo

MUKWALA ATUA AL NASR

MSHAMBULIAJI wa Simba raia wa Uganda, Steven Mukwala ameondoka rasmi ndani ya  klabu hiyi baada ya kukamilisha uhamisho wake kwenda Al Nasr…

Jan 19, 2026