Michezo Soka la Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Soka la Bongo

MCHAMBUZI WA VIDEO MAMELODI KUIBUKIA SIMBA

UONGOZI wa klabu ya Simba umeendelea kuimarisha benchi la ufundi kwa kumtambulisha rasmi mchambuzi wa video, Prinil Deen, hatua inayolenga kuongeza ubora…

Dec 29, 2025
Michezo Soka la Bongo

MWANENGO RASMI KWENYE MILANGO YA JANGWANI

UONGOZI  wa klabu ya Yanga SC umemtambulisha rasmi aliyekuwa mshambuliaji wa TRA United, Emmanuel Mwanengo, kuwa mchezaji mpya wa kikosi hicho katika…

Dec 29, 2025
Michezo Soka la Bongo

RUSHINE AZUA GUMZO MSIMBAZI

SIMBA  imeendelea kuvutia macho ya mashabiki wake baada ya kurejea kambini kwa ajili ya kuendelea na mazoezi, ikiwa ni maandalizi ya mashindano…

Dec 29, 2025
Michezo Soka la Bongo

DAVIES PHIRI ATAMBULISHWA MSIMBAZI

UONGOZI  wa Klabu ya Simba umeendelea kuimarisha benchi la ufundi baada ya kumtambulisha rasmi Davies Phiri kama kocha mpya wa makipa wa…

Dec 29, 2025
Michezo Soka la Bongo

Katika dunia ya sloti zilizojaa mwanga mwingi na kelele zisizoisha, Meridian Panda Deluxe inachagua njia tofauti kabisa, njia ya utulivu unaozalisha matokeo. Huu si…

Dec 29, 2025
Michezo Soka la Bongo

MLENGO AKIMBILIA JANGWANI, TRA UNITED BYE BYE

ALIYEKUWA mshambuliaji wa TRA United, Emmanuel Mwanengo maarufu kama “Mengo”, ameaga rasmi klabu hiyo baada ya kukamilisha makubaliano ya kujiunga na Yanga,…

Dec 29, 2025
Michezo Soka la Bongo

ODDS KUBWA ZIPO KWENYE MECHI ZA LEO

Michuano ya Mataifa Barani Africa (AFCON) inatarajiwa kuendelea lakini pia na ligi mbalimbali huku timu kibao zikijidhatiti kupambana kwa hali na mali…

Dec 28, 2025
Michezo Soka la Bongo

HERSI AFUNGUKA USAJILI MZITO WA OKELLO

RAIS wa klabu ya Yanga, Hersi Said, ameweka wazi juu ya mchakato wa usajili wa nyota wa Uganda, Allan Okello, akibainisha kuwa…

Dec 28, 2025