Michezo Soka la Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Soka la Bongo

BILA MASHABIKI, YANGA KUISHTUA FAR RABAT

KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kushuka dimbani kesho jijini Rabat, Morocco, katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS…

Feb 7, 2026
Michezo Soka la Bongo

MERIDIANBET KUKUTAJIRISHA LEO

Wakali wa ubashiri wanakwambia kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na mkwanja mnene ukibashiri mechi zako na Meridianbet leo. Suka jamvi lako…

Feb 7, 2026
Michezo Soka la Bongo

GUMBO AHAIDI, MORALI JUU KAMBINI YANGA

UONGOZI  Yanga SC umeweka wazi kuwa kikosi cha timu hiyo kipo katika hali nzuri ya kisaikolojia na kiufundi kuelekea mchezo muhimu wa…

Feb 6, 2026
Michezo Soka la Bongo

MSIBA MOROCCO BUBA AMUACHA PEDRO NJIA PANDA

NYOTA mpya wa Yanga, Buba Jammeh, anatarajiwa kutua nchini Tanzania kusubiri kikosi cha timu hiyo kitakaporejea kikitokea Morocco, ambako kipo kwa ajili…

Feb 6, 2026
Michezo Soka la Bongo

MANGUNGU AVUNJA UKIMYA SIMBA, HATUJIUZULU

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba na Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Murtaza Mangungu, amesema uongozi wa klabu hiyo unaendelea kutekeleza majukumu yake kama…

Feb 6, 2026
Michezo Soka la Bongo

BGAMING KUFUNGUA MLANGO WA BURUDANI NA

Je, uko tayari kuchukua burudani yako ya kasino mtandaoni hadi kiwango kingine? Meridianbet inarudi na jambo jipya linalokuletea msisimko wa hali ya juu.…

Feb 6, 2026
Michezo Soka la Bongo

FOUNTAIN YAHAMIA SHEIKH AMRI ABEID

MABOSI wa Fountain Gate wamefikia uamuzi wa kuhamishia mechi zote za nyumbani za timu hiyo za Ligi Kuu na mashindano ya ndani…

Feb 5, 2026
Michezo Soka la Bongo

MMILIKI WA MBEYA KWANZA APIGA MKWARA

MMILIKI wa Mbeya Kwanza, Yusuph Kitumbo, amesema hana mpango wowote wa kuiuza timu hiyo kwa sasa kama inavyodaiwa, baada ya hivi karibuni…

Feb 5, 2026