Michezo Soka la Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Soka la Bongo

NGOME YA AL AHLY YAVAMIWA NA YANGA

KIKOSI cha wachezaji 24 wa klabu ya Yanga kimeondoka leo kuelekea Cairo, Misri, kwa ajili ya mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa…

Jan 21, 2026
Michezo Soka la Bongo

KIPA MPYA ATAMBULISHWA MSIMBAZI

KLABU ya Simba SC imemtambulisha rasmi mlinda lango wao mpya, Mahamadou Tanja Kassali, raia wa Niger, ikiwa ni sehemu ya jitihada za…

Jan 20, 2026
Michezo Soka la Bongo

TANZANIA YAPANDA NAFASI MBILI UBORA FIFA

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu…

Jan 20, 2026
Michezo Soka la Bongo

MAKONDA AIHAKIKISHIA FIFA USHIRIKIANO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani…

Jan 20, 2026
Michezo Soka la Bongo

YANGA KUIFATA AL AHLY MISRI JUMATANO

KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuondoka nchini kesho alfajiri kuelekea nchini Misri, mji wa Alexandria, kwa ajili ya mchezo muhimu wa Ligi ya…

Jan 20, 2026
Michezo Soka la Bongo

BURUDANI NA KALAMBA GAMES NA MERIDIANBET

Wachezaji wa kasino, simama tayari kwa mapinduzi ya kweli mtandaoni. Meridianbet imeungana na Kalamba Games, kampuni ya kimataifa inayojivunia ubunifu wa sloti za kisasa…

Jan 20, 2026
Michezo Soka la Bongo

MFUMO WA YANGA WAANZA KUELEWEKA

KOCHA Mkuu  wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema kikosi chake kimeanza kuonyesha mabadiliko chanya baada ya wachezaji wapya kuelewa kwa kina falsafa na…

Jan 20, 2026
Michezo Soka la Bongo

CHAMA NI SWALA LA MUDA MSIMBAZI

UONGOZI wa klabu ya Simba umeendelea kuonyesha dhamira yake ya kuimarisha kikosi kwa kufikia makubaliano ya awali na kiungo mshambuliaji wa Singida…

Jan 20, 2026