Michezo Soka la Bongo

Browse all posts in this category.

Michezo Soka la Bongo

PHIRI AKWAMBA ULAYA AIBUKIA ZIMBABWE

MSHAMBULIAJI nyota wa Singida Black Stars, Mzambia Andrew Phiri amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Hard Rock FC inayoshiriki Ligi Kuu Zimbabwe, baada…

Jan 15, 2026
Michezo Soka la Bongo

MPANZU ATANGAZA HATARI JUMAPILI

NYOTA wa Simba SC, Elie Mpanzu, ameonyesha kiwango kikubwa cha hamasa na ari ya kupambana kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania…

Jan 15, 2026
Michezo Soka la Bongo

MBWA MWITU AINGIA RASMI NDANI YA YANGA

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Radomiak Radom ya Poland, Laurindo Dilson Maria Aurelio maarufu kwa jina la Mbwa Mwitu (Depu), ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji…

Jan 15, 2026
Michezo Soka la Bongo

SIMBA WAINGIA SOKONI KUSAKA KIMYA MPYA

UONGOZI wa klabu ya Simba umeingia sokoni kutafuta kipa mwingine wa kuziba pengo lililosababishwa na majeraha ya makipa wao Moussa Camara na…

Jan 15, 2026
Michezo Soka la Bongo

OKELLO ANA MZUKA YANGA, AANZA KAZI GYM

HAKUNA kulala, hilo ndilo neno linaloelezea mwanzo wa safari ya mshambuliaji mpya wa Yanga, Allan Okello, ambaye tayari ameanza rasmi mazoezi na…

Jan 15, 2026
Michezo Soka la Bongo

TIKETI YAKO, FURSA YAKO YA USHINDI NA MERIDIANBET

Wakati mwingine, kubashiri kunachukua msisimko wa ajabu. Unapoweka tiketi yako ya Win&Go, unaweza kushinda au kushindwa, lakini sasa, Meridianbet wanakuonyesha kuwa hata hasara…

Jan 15, 2026
Michezo Soka la Bongo

TAARIFA ZOTE ZA MICHEZO NA MERIDIANBET SPORT PORTAL

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo…

Jan 15, 2026
Michezo Soka la Bongo

YANGA KUSHUSHA DAWA YA KUIMALIZA AL AHLY

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi mikakati yake ya kuimarisha kikosi kabla ya kibarua kigumu dhidi ya Al Ahly ya Misri, huku ukithibitisha…

Jan 14, 2026
Michezo Soka la Bongo

BAHATI KUKUFATA ULIPO NA MERIDIANBET, KASINO

Meridianbet imekuja na mtazamo tofauti kabisa kwa kuzindua Non-Stop Win&Go Drop, mpango unaolenga kumweka mchezaji katikati ya tukio muda wote. Hapa, dhana ya…

Jan 14, 2026